Siku Mwanakijiji atakapokutana uso kwa uso na Lowasa..Itakuwa Vipi?

Wanasiasa wawili watakuwa wamekutana, hakuna la maana litakalo tokea......mwendo mdundo, Tanzania style!!.
 
Wasanii wawili watakuwa wamekutana, kila mtu atatabasamu sana na kupeana mikono ya nguvu utafikiri wanapendana kumbe ndani ya mioyo yao hasira na chuki vinachemka.

Hata siku moja usimwonyeshe weakness ya aina yoyote adui wako, akijua atakumaliza.
 
Mkjj atatabasamu na Lowasa atanuna na kupata kigugumizi cha ghafla.
 
Nina wasiwasi kuwa Lowassa anaweza kupasuka, na Mwanakijiji anaweza kuua mtu, ni sawa na Idi Amin alivyokuwa anasema nikikutana na Nyerere!Amekwisha.
 
EL Anamfahamu fika mwanakijij-sema el ana hamu kubwa aonane naye ili amsaidie adhma flani waliyonayo,kuna kundi jipya linaitwa RUNGU,ACHANA NA MTANDAO,hawa ndio wana nguvu kubwa katika serikali hii..kuna kapuya,shekifu,mama sophia simba,brother ditto-the killer,muungwana pamoja na rostam,ila wengine ambao ni mtandao wanajikomba,ila list hiyo hata wafanyeje hawatang'oka!wao ni watu wa madili tu na hakuna utendaji,na wana tabia ya ukimya
 
Mkombozi,
Una maana JK mwenyewe RA ambao ni ma-architechts wa mtandao wameanza kuwa anti Mtandao, what a u turn. and Why?
 
wasi wasi wangu EL huenda akipigwa mkono mzito kwa hasira za mkjj hasa unapomsikia akiongea na kulitaja jina la el.


atafanya kama alivyofanya maama kiibaki
 
Mwanakijiji atakatiwa mshiko wa nguvu (Rushwa). Pia atapewa password ya website yake ambayo EL alishamtengenezea ili asitumie vi-blogu.

Hatua ya pili ni kuwa Mwanakijiji atarudi JForums na kukaa kimyaa, mara moja moja ataandika hoja za kumpigia debe EL!!

Mwaka 2015 atateuluwa kuwa mkurugenzi wa kampeni za uchaguzi za EL, baada ya hapo who knows?, Wazari wa habari, au atakuwa namba 2 katika hiyo Sirikali ya awamu ya tano??.
 
Mie ntatamani tu kuwapiga chabo wakati wanalazima tabasamu kama wahudumu wa kwenye ndege (lol!)
 
Back
Top Bottom