LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,281
- 27,704
- Thread starter
- #81
Alishajua mke ni mchawiMM nawezq amini hii story tena 100 %
naomba niulize swali
kwann mganga atoe mashart chakula apewe na mama au binti yake apa nina maj8bu mawili
1.mganga alishajua mke ni mchawi na mnafiki
2.au ni ngumu kwa mama na binti kumtega mshikaji
naomba jibu muheshimiwa nipo njian naenda kukiamsha huko