KABIDI BODO
Senior Member
- Jan 19, 2017
- 185
- 252
Mikakati ya CCM nikuzalisha taifa la watu waoga na wasioruhusiwa kuhoji chochote, Pengine wanadhani wao ni bora sana na hawana makosa kabisa..
Hapo kuna uongo. Mbunge anatoroka kwenda wapi? Mbona polisi walimkuta kwake?SIKU MBILI ZA HALIMA MDEE RUMANDE OYSTERBAY
Usiku wa kuamkia leo tarehe 6 Julai, 2017 ni usiku wa pili wa kulala korokoroni Mwenyekiti wa BAWACHA taifa, Mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge wa Kawe CHADEMA Halima James Mdee.
Katika rumande ya Polisi Oysterbay wilayani Kinondoni, Mdee ameendelea kutumikia masaa 48 aliyopewa na Mkuu wa Awilaya ya Kinondoni Ally Hapi kwa kosa la kumdhihaki Mh. Rais Dr. John Magufuli na kutoa maneno machafu yanayoweza kuvunja amani.
MATAMSHI YA MDEE
Akizungumza na waandishi wa habari Makao makuu ya CHADEMA Mdee ananukuliwa kudai kuwa Mh. Rais Magufuli amekua na "tabia ya hovyo...", "...ipo siku ataagiza watanzania (wake kwa waume) watembee vifua wazi...". Maneno mengine ni "...Rais lazima afungwe breki...",apewe semina elekezi n.k.
UCHOCHEZI
Halima Mdee anatajwa kutoa kauli za uchochezi kama vile "...woga wetu wananchi ndio unaotugharimu nchi hii..." "...watakaomfunga breki ni nyinyi wananchi...", maneno yanayotajwa kupandikiza na kuhamasisha chuki na vurugu kwa wananchi.
KUKAMATWA KWAKE
Baada ya amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mdee alianza harakati za kutoroka na kuruka mtego wa Polisi. Hata hivyo Jeshi la Polisi Kinondoni lilimkamata akiwa amejificha nyumbani kwa mama yake Kibamba wilayani Ubungo tayari kwa kutoroka.
RUMANDE
Halima Mdee anatajwa kuhifadhiwa katika rumande ya watuhumiwa wa uhalifu wa jinsia ya kike katika kituo cha Oysterbay Kinondoni.
BUNGE KUMUWAJIBISHA TENA
Akiwa bado anatumikia kifungo cha kutohudhuria Bunge hadi mwaka 2018, Halima Mdee ameingia tena matatani.
Kufuatia matamshi ya Mdee na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chadema, Spika wa Bunge Job Ndugai ameagiza kamati ya Kinga na Madaraka ya Bunge kukutana haraka kujadili kitendo cha Mbunge huyo kutoa matashi ya kulifedhehesha Bunge. Akikutwa na hatia huenda akaongezewa adhabu nyingine.
Duh!! kwa hiyo analiamsha dude halafu anakimbilia kwa mama kujificha,kwa hiyo wapiga kura wake tukiwa na shida nae tumfate kwa mamaake? Kumbe tunaongozwa na "mtoto wa mama"! Au mama ndiye alimtuma akaliamshe na sasa alikuwa anarudisha majibu?
Ukome kumuita Rais wetu wa JMT ' Kinyago ' sawa? au undhani na sisi hatuyajui ' mapungufu ' na ' madhaifu ' ya Edward N. Lowassa? Rais aheshimiwe tafadhali sawa? Yaani kabisa unamuita Rais wetu Kinyago? Umeshaharibu siku yangu tayari. Nitarudi.
Halima Mdee lazima abadilike, watanzania sasa hivi hatutaki siasa za chuki. Hata kama Rais anakosea, kuna njia nzuri za kumpinga lakini sio kama wabunge wengi wa upinzani wanavyofanya.
Etupotezea wana Kawe fursa ya kuwakilishwa bungeni.SIKU MBILI ZA HALIMA MDEE RUMANDE OYSTERBAY
Usiku wa kuamkia leo tarehe 6 Julai, 2017 ni usiku wa pili wa kulala korokoroni Mwenyekiti wa BAWACHA taifa, Mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge wa Kawe CHADEMA Halima James Mdee.
Katika rumande ya Polisi Oysterbay wilayani Kinondoni, Mdee ameendelea kutumikia masaa 48 aliyopewa na Mkuu wa Awilaya ya Kinondoni Ally Hapi kwa kosa la kumdhihaki Mh. Rais Dr. John Magufuli na kutoa maneno machafu yanayoweza kuvunja amani.
MATAMSHI YA MDEE
Akizungumza na waandishi wa habari Makao makuu ya CHADEMA Mdee ananukuliwa kudai kuwa Mh. Rais Magufuli amekua na "tabia ya hovyo...", "...ipo siku ataagiza watanzania (wake kwa waume) watembee vifua wazi...". Maneno mengine ni "...Rais lazima afungwe breki...",apewe semina elekezi n.k.
UCHOCHEZI
Halima Mdee anatajwa kutoa kauli za uchochezi kama vile "...woga wetu wananchi ndio unaotugharimu nchi hii..." "...watakaomfunga breki ni nyinyi wananchi...", maneno yanayotajwa kupandikiza na kuhamasisha chuki na vurugu kwa wananchi.
KUKAMATWA KWAKE
Baada ya amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mdee alianza harakati za kutoroka na kuruka mtego wa Polisi. Hata hivyo Jeshi la Polisi Kinondoni lilimkamata akiwa amejificha nyumbani kwa mama yake Kibamba wilayani Ubungo tayari kwa kutoroka.
RUMANDE
Halima Mdee anatajwa kuhifadhiwa katika rumande ya watuhumiwa wa uhalifu wa jinsia ya kike katika kituo cha Oysterbay Kinondoni.
BUNGE KUMUWAJIBISHA TENA
Akiwa bado anatumikia kifungo cha kutohudhuria Bunge hadi mwaka 2018, Halima Mdee ameingia tena matatani.
Kufuatia matamshi ya Mdee na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chadema, Spika wa Bunge Job Ndugai ameagiza kamati ya Kinga na Madaraka ya Bunge kukutana haraka kujadili kitendo cha Mbunge huyo kutoa matashi ya kulifedhehesha Bunge. Akikutwa na hatia huenda akaongezewa adhabu nyingine.
Wapinzani ni duka la mango??Hata kama Rais ana element za siasa za chuki lakini sio kwa kushambuliwa kwa namna wanavyofanya wapinzani. Rais ni taasisi kumbuka.
Huyo dada analeta mipasho .....siasa za kizamani hizo ....wtz wanaheshimu mwanasiasa anayechalenge serekali kwa njia za kistaarabu ....
Jaribu kumshambulia na wewe uone moto wakeKwahiyo Rais ana ruhusiwa kushambulia wenzake lakini wengine hawaruhusiwi kumshambulia?
Watanzania bwana vitu vidogo tu povu linawatoka kwanza jamaa ni zaidi ya hovyo.Acha kujitoa ufahamu mkuu, wewe unaweza kumwambia mzazi wako "una tabia za hovyo" halafu akakuvumilia? Anaposema ipo siku Rais atawaambia wake kwa waume watembee vifua wazi ni kama anataka kutuaminisha nini?
Hiyo njia ni ya kuelekea kolomije au chato fafanuaSIKU MBILI ZA HALIMA MDEE RUMANDE OYSTERBAY
Usiku wa kuamkia leo tarehe 6 Julai, 2017 ni usiku wa pili wa kulala korokoroni Mwenyekiti wa BAWACHA taifa, Mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge wa Kawe CHADEMA Halima James Mdee.
Katika rumande ya Polisi Oysterbay wilayani Kinondoni, Mdee ameendelea kutumikia masaa 48 aliyopewa na Mkuu wa Awilaya ya Kinondoni Ally Hapi kwa kosa la kumdhihaki Mh. Rais Dr. John Magufuli na kutoa maneno machafu yanayoweza kuvunja amani.
MATAMSHI YA MDEE
Akizungumza na waandishi wa habari Makao makuu ya CHADEMA Mdee ananukuliwa kudai kuwa Mh. Rais Magufuli amekua na "tabia ya hovyo...", "...ipo siku ataagiza watanzania (wake kwa waume) watembee vifua wazi...". Maneno mengine ni "...Rais lazima afungwe breki...",apewe semina elekezi n.k.
UCHOCHEZI
Halima Mdee anatajwa kutoa kauli za uchochezi kama vile "...woga wetu wananchi ndio unaotugharimu nchi hii..." "...watakaomfunga breki ni nyinyi wananchi...", maneno yanayotajwa kupandikiza na kuhamasisha chuki na vurugu kwa wananchi.
KUKAMATWA KWAKE
Baada ya amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mdee alianza harakati za kutoroka na kuruka mtego wa Polisi. Hata hivyo Jeshi la Polisi Kinondoni lilimkamata akiwa amejificha nyumbani kwa mama yake Kibamba wilayani Ubungo tayari kwa kutoroka.
RUMANDE
Halima Mdee anatajwa kuhifadhiwa katika rumande ya watuhumiwa wa uhalifu wa jinsia ya kike katika kituo cha Oysterbay Kinondoni.
BUNGE KUMUWAJIBISHA TENA
Akiwa bado anatumikia kifungo cha kutohudhuria Bunge hadi mwaka 2018, Halima Mdee ameingia tena matatani.
Kufuatia matamshi ya Mdee na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chadema, Spika wa Bunge Job Ndugai ameagiza kamati ya Kinga na Madaraka ya Bunge kukutana haraka kujadili kitendo cha Mbunge huyo kutoa matashi ya kulifedhehesha Bunge. Akikutwa na hatia huenda akaongezewa adhabu nyingine.
Pavu jingi vepe unaamua vp sasaUpumbavu mkubwa huu! Lugha yake ya kukosa staha ndio inayozalisha majibu anayopata. Eti urais ni taasisi! Yaani taasisi ndio iheshimiwe kuliko heshima ya MTU mmoja mmoja?
Mtatuambia sasa kuwa hata Mirembe ni taasisi hivyo iheshimiwe kuliko anavyo heshimiwa utu wake MTU mmojammoja
Mkuu usijisumbue ku reason na wavuta bangi kama Halima.Haitokuja kutokea selikari hapa duniani ambayo itatoa uhuru wa kiwango hicho cha mtu kutoa maneno ya kejeli na kuudhi kwa kisingizio cha freedom of speech, hakuna.Hata leo tumpe nchi Lowasa, Tundu lissu au mwenyewe Mdee, hawatoweza.
Hata tukianzia tu kwenye family level,mtoto ukitumia lugha mbovu kwa mzazi wako hata kama ni yeye ndio aliyekukosea, utaisoma tu.
Vivyo hivyo, ofisini ukitumia lugha mbovu kwa bosi wako hata kama yeye ndio mkosaji, yatakukuta tu.Halafu mbona tumekuwa wasahaulifu mno?, mbona haya yametokea kwenye selikari zote zilizopita hapa Tz, iweje muishangae ya Jpm?
Ona nawe ulivyo! Wewe nawe ni mwanamke? Sawa lazima ushangilie kwani mfumo dume utakuwa umekukondesha hasa kama una vielement vya tarime! Hongera kwa kunyooshewa!Na ' Mwanamume ' anawanyoosha kweli.