KayScarpetta
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,251
- 775
Heeee... kwani rais ni baba yake Halima? Mbona mie najua kuwa aligombea ili achaguliwe na wananchi, ili baadaye akiharibu wamkosoe ipasavyo?! Au utaratibu ulikuja kubadilika akapigiwa kura na wanae tu? Lakini sasa kama ndio hivyo, mbona kuna wazee wa 70yrs na 80yrs walioneka wakipiga kura?! Nao pia ni watoto wake? Hawaruhusiwi pia kumkosoa baba yao?!Acha kujitoa ufahamu mkuu, wewe unaweza kumwambia mzazi wako "una tabia za hovyo" halafu akakuvumilia? Anaposema ipo siku Rais atawaambia wake kwa waume watembee vifua wazi ni kama anataka kutuaminisha nini?