kisu cha ngariba: kama una ubavu, vua koti la hiyo ID, utoke hadharani uyasema maneno ambayo wewe unaamini ni sahihi kuyasema ukimshbulia Rais.Kwahiyo Rais ana ruhusiwa kushambulia wenzake lakini wengine hawaruhusiwi kumshambulia?
Umepakatwa au? Acha dhihaka kwa wanaumeNa ' Mwanamume ' anawanyoosha kweli.
kisu cha ngariba: kama una ubavu, vua koti la hiyo ID, utoke hadharani uyasema maneno ambayo wewe unaamini ni sahihi kuyasema ukimshbulia Rais.
Hiyo sentensi umejijibuNiyaseme ya nini tena wakati Mdew kayasema vizuri na kwa ufasaha? Halafu usidhani namuogopa mtu.
Hiyo sentensi umejijibu
We nawe ovyo kweli! Kwenye majimbo mengine hasa yale yanayoongozwa na Ccm lipi la maana limefanyika? Mijitu ya mtera haijitambui kama mbunge wao!Kabisaa
Ila anaboa huyu ukizingatia hata hakuna analofanya la maana kwenye jimbo lake.
Angeanza kutambua yeye kwamba nafasi yake ni taasisi,Hata nyumbani baba akianza kukosa adabu mbele ya watoto wake,si ajabu na watoto kuanza kumkosea adabu mbele yake.Hata kama Rais ana element za siasa za chuki lakini sio kwa kushambuliwa kwa namna wanavyofanya wapinzani. Rais ni taasisi kumbuka.
Rais ni mtu na si taasisi bali ikulu ndo TaasisiHata kama Rais ana element za siasa za chuki lakini sio kwa kushambuliwa kwa namna wanavyofanya wapinzani. Rais ni taasisi kumbuka.
Mkuu sorry, alimwambiaje spika?Sishangai wengi humu kuunga mkono upuuzi wa Mdee maana hata alivyomtusi Spika 'acha Ufala' mlishangilia sana.
Wewe kisu cha ngariba waweza kumtukana hata mama yako mzazi kwa jinsi ilivyo, lazima Rais wa nchi aheshimiwe hata kama hukumchagua. Ni sawa na kumheshimu mama yako aliyekuzaa hata kama kakukosea namna gani. Hivyo wanajamvi tusiwe kama hatuna maadili au hatujalelewa na wazazi.Hivi kati ya Rais na Mdee nani ana siasa za chuki?
kama alifanya vitu vya kifala unafikiri angeambiwaje?Ndugai alistahili na bado anastahili kuitwa alivyoitwa,Mtu anayeshindwa hata kujifunza kutoka kwa wenzake waliomtangulia kufanya kazi hiyohiyo moja?Bunge badala kuendelea kuwa bora linaendelea kuwa uozo?Waache wanaoweza kusema ukweli wawaambie ukweli.Sishangai wengi humu kuunga mkono upuuzi wa Mdee maana hata alivyomtusi Spika 'acha Ufala' mlishangilia sana.
Wewe kisu cha ngariba waweza kumtukana hata mama yako mzazi kwa jinsi ilivyo, lazima Rais wa nchi aheshimiwe hata kama hukumchagua. Ni sawa na kumheshimu mama yako aliyekuzaa hata kama kakukosea namna gani. Hivyo wanajamvi tusiwe kama hatuna maadili au hatujalelewa na wazazi.
Nawe endelea kubwabwaja tuhumu jamvini - debe tupu. Kama unamwonea huruma na kwa uwezo ulionao wa maneno humu jamvini, jitokeze ukamtoe pale kituoni.Endelea kupiga makofi na kushangilia,ndio ujira wako.
Nawe endelea kubwabwaja tuhumu jamvini - debe tupu. Kama unamwonea huruma na kwa uwezo ulionao wa maneno humu jamvini, jitokeze ukamtoe pale kituoni.
Hivi ulikuwa wapi hadi anakamatwa?
Mimi ninaamini kuna namna mwenye taasisi akijirekebisha hata hawa wanao mkosoa kwa namna ambayo yeye mwenyewe na mnao mzunguka hampendi,watajirekebisha pia.Vinginevyo kwa kadri atakavyo endelea kuwa hivi ndivyo na idadi ya wakosoaji wa namna hii msiyo ipenda ndivyo itakavyokuwa inaongezeka.Wewe kisu cha ngariba waweza kumtukana hata mama yako mzazi kwa jinsi ilivyo, lazima Rais wa nchi aheshimiwe hata kama hukumchagua. Ni sawa na kumheshimu mama yako aliyekuzaa hata kama kakukosea namna gani. Hivyo wanajamvi tusiwe kama hatuna maadili au hatujalelewa na wazazi.