mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,727
Ubabe ni upande huo usiotaka kutii sheria, ili wapate huruma ya wananchi kuwa wanaonewa.Ub
Ubabe, kutisha watu, uonevu, uongo, unafiki... ndio mambo mnayoweza tu! Pathetic!!
Hakika na mimi mtu wa kawaida ukiniita wa hovyo, nitakufikisha kwenye vyombo vya sheria ueleza nilivyo hovyo.
Mnachoweza ni kuropoka tu humu jamvini, wakati mnao watetea wanasoteshwa raumande.