Siku mbili za Halima Mdee rumande Oysterbay

Siku mbili za Halima Mdee rumande Oysterbay

My number 1 must earn my respect,sio kulazimisha respect,ni lazima aheshimu taasisi ya urais,ili watanzania nasi tutambue hilo,sio kulazimisha heshima.upinzani ni kioo cha government of the day,wapinzani ni watanzania sio refuges ambao nao wanawajibika kuongea but within sheria zetu ndani ya sheria mama ,katiba again slowly tunajenga taifa la chuki,fujo,hakuna upendo na mavuno yake next generations wataishi hivyo,mifano ipo mingi tu .
 
Asili ya mtanzania ni mnafiki na wewe ni mmoja wapo.
Mi sio mnafiki, ukweli unabaki kuwa ukweli, Sina chuki kama wewe mchina,Ila upinzani ni roho, tena roho inayotoka kwa shetani, ukiwa nayo utatumia vivuli vingi kupinga kila kitu, ndio asili yake.
 
Mi sio mnafiki, ukweli unabaki kuwa ukweli, Sina chuki kama wewe mchina,Ila upinzani ni roho, tena roho inayotoka kwa shetani, ukiwa nayo utatumia vivuli vingi kupinga kila kitu, ndio asili yake.

Sawa mwanaccm,hongereni kwa kuuza malia asili zite za Tanzania na kujinufaisha wenyewe. Hongereni kwa kuwa mafisadi,mliofisadi kila kilichopita mbele yenu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyu dogo mimi namchukulia kama mtu wa mzaha mzaha. Anawachuuza watanzania kwa kuwaambia uoga ndio umetufikisha hapa na kuhimiza watu wasiwe waoga kumbe yeye ndiye muoga number one,analiamsha dude halafu anakimbilia kujificha kwa mama, bado najiuliza pia kama huyo mama nae ni mtu serious na inaashiria malezi ya mama ndiyo yamemfikisha hapo alipo,mtoto wa kike ana guts za kusimama hadharani kumkashifu Rais wa nchi halafu anakimbilia kwa mama! Lakini pia najiuliza kama huyo mama nae hakustahili kubebwa kwa kosa la kumficha mhalifu huku akijua kuwa anatafutwa na dola,alifaa kuchukuliwa kwa "Tanganyika jeki" apelekwe nae akapewe ujumbe wa MAMA MKANYE MWANAO.
Hivi kashfa hapo ipo wapi. Na nini maana ya kashfa kisheria?
 
Halima Mdee lazima abadilike, watanzania sasa hivi hatutaki siasa za chuki. Hata kama Rais anakosea, kuna njia nzuri za kumpinga lakini sio kama wabunge wengi wa upinzani wanavyofanya.

Unajua kwamba Rais wako ndo anaongoza kwa siasa za chuki?
 
Hivi kashfa hapo ipo wapi. Na nini maana ya kashfa kisheria?
Acha kujitoa ufahamu mkuu, wewe unaweza kumwambia mzazi wako "una tabia za hovyo" halafu akakuvumilia? Anaposema ipo siku Rais atawaambia wake kwa waume watembee vifua wazi ni kama anataka kutuaminisha nini?
 
Halima Mdee lazima abadilike, watanzania sasa hivi hatutaki siasa za chuki. Hata kama Rais anakosea, kuna njia nzuri za kumpinga lakini sio kama wabunge wengi wa upinzani wanavyofanya.
Huku unatupa njia ambazo anazopaswa kufuata iwapo anataka kumpinga Rais pia itatusaidia pia sie wananchi wa kawaida maana hata mie nikikuta kitu kinajadiliwa kuhusu serikali huwa naogopa kuweka inputs nahisi kama wana usalama wapo jirani
 
Ukome kumuita Rais wetu wa JMT ' Kinyago ' sawa? au undhani na sisi hatuyajui ' mapungufu ' na ' madhaifu ' ya Edward N. Lowassa? Rais aheshimiwe tafadhali sawa? Yaani kabisa unamuita Rais wetu Kinyago? Umeshaharibu siku yangu tayari. Nitarudi.
Aheshimiwe vipi wakati yeye haheshimu waliomuweka pale kwenye kiti cha Ukulu?
Jinsi alivyokejeli wana Bukoba hukumbuki?
Matamshi mangapi anayatoa kila uchao ya kukejeli wananchi?

Mwambie yeye ajiheshimu kwanza ndio aheshimiwe.
 
Huyo dada analeta mipasho .....siasa za kizamani hizo ....wtz wanaheshimu mwanasiasa anayechalenge serekali kwa njia za kistaarabu ....
Hivi kwa hawa sisiemu wanaiishi chuki, fitna na kila aina ya udhalili unataka wafanyiwe ustaarabu? Aisee, si kwa hawa makinikia!
 
Back
Top Bottom