Kwani mkuu humfahamu huyu alieleta mada,mbona mkuu Lizaboni alimuumbua humu nakumuanika kabisa.Huyu mkuu anaagiza watu wafungwe masaa 48.Kwani huyu ni nani?
naona unamkubali hadi unamsifia itabidi uolewe naeNa ' Mwanamume ' anawanyoosha kweli.
kaharibu siku yako kivipi sasa! au umesemwa wewe?Ukome kumuita Rais wetu wa JMT ' Kinyago ' sawa? au undhani na sisi hatuyajui ' mapungufu ' na ' madhaifu ' ya Edward N. Lowassa? Rais aheshimiwe tafadhali sawa? Yaani kabisa unamuita Rais wetu Kinyago? Umeshaharibu siku yangu tayari. Nitarudi.