Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Upumbavu mkubwa huu! Lugha yake ya kukosa staha ndio inayozalisha majibu anayopata. Eti urais ni taasisi! Yaani taasisi ndio iheshimiwe kuliko heshima ya MTU mmoja mmoja?Hata kama Rais ana element za siasa za chuki lakini sio kwa kushambuliwa kwa namna wanavyofanya wapinzani. Rais ni taasisi kumbuka.
Mtatuambia sasa kuwa hata Mirembe ni taasisi hivyo iheshimiwe kuliko anavyo heshimiwa utu wake MTU mmojammoja