Hakika!Binafsi nipo hapa kufurahi na kuongeza maarifa kidogo. Sitaki kuharibu mood yangu kisa mtu nisiyemfaham. Huko nyuma huenda nilikuwa nakwazika, nowadays wala... ila pale tuliwezwa sana dah🤣
Nipoooo babyAcha kabisa dear mbona kurara yooo! Hivi mama mchungaji Tayana-wog yupo???? Nimemmiso hadi naumwaa
Weee kumbe!![emoji1787] !
Kumba radhi ni uungwana sana , kwa sababu kuna siku mtu anakuwa na siku mbaya kifikra, anakutana na coment yako nayo ikachangia kufanya siku yake kuwa mbaya ! Bora kutanguliza kuomba radhi.
Hata wewe kama nimewahi kukukwaza kwa namna yoyote ile I apologize from the bottom of my heart.
Shukrani kaka
Nothing siriaz kuna mtu kaulizia uzi wa selfika ndio tukakushumbia zile hekaheka dear!Nipoooo baby
Miss u..
Kuna nn Tena jamani
🤣🤣🤣🤣🙌Mpaka sasa nishakula bann mbili
Ila kuna hawa members kama GENTAMYCIME GENTAMYCINE Mpwayungu Village FaizaFoxy ndo wanaongoza kwa siku mbaya umu jf
Nimeapa sitaanzisha thread jf mpaka mods waniombe msamaha[emoji23]niliandika uzi wangu mzuri tu kuliko hauna maudhui mabaya yanayoamsha kama wa rikiboy ... Kabla Hata haujafikisha dakika mbili ukafutwa... Asee nilipata hasira nikaenda kule kwa rikiboy nikakomenti "huu uzi ufutwe kama zinavyofutwa zingine"... Nimeapa sitaanzisha thread jf mpaka mods waniombe msamaha... Nna vitu vingi sana vya kushea na nyie wakuu lakini nna hasira na moderators wote...
Hahaaa hatariNothing siriaz kuna mtu kaulizia uzi wa selfika ndio tukakushumbia zile hekaheka dear!
Miss you more sweetheart!
Ngoja kutulie maana kumekorogeka hatariHahaaa hatari
Jmn Mshana Jr hivi haiwezekani kuanzisha Uzi mwingine wa self[emoji2957][emoji2960]
Sio lazima ...you need to get new information as much as possible than kushare ..Nimeapa sitaanzisha thread jf mpaka mods waniombe msamaha[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes yes
Taratibu rafiki..[emoji1544][emoji1544][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji3]Weee hapana asianzishe aseee! Modisi wajue tu Tulikuepo hata kabla ya hio selfika so hatutisheke wala nenee!!
🤣🤣🤣Nalo nenoWeee hapana asianzishe aseee! Modisi wajue tu Tulikuepo hata kabla ya hio selfika so hatutisheke wala nenee!!
🤣🤣🤣Ni nishaanzishiwaga Hadi Uzi......mtu hinilipii bills zangu....huwezi niaribia siku....it's close to impossible
Safi, usikubali kuwa mnyonge kwa wajinga wachache.Wa kunipa siku mbaya humu sijamuona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kubishana na watu wenye sonona nikawatilia maanani tena wenye fake IDs badooooo sanaaaa
Na nilivyo jeuri wala sikuweki kwenye ignore list bali nakukaza live kwenye comments mpk upoteane [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ningekuwa nimejilia vyangu wala nisingehangaika, ningetulia zangu kusikilizia mpambano🤣🤣🤣😀Ile kesi ilitaka kukupa presha itakuwa