Siku mbaya JF

pole sana ndugu
 
Huwa hainipi shida kwa mtu aliyenitukana, simaanishi nina nidhamu ya uoga la hasha ni vile natakiwa kuwa.

Wanaonijua nje ya jf hawazidi watano na hata wao pia hawanijui kiundani, yanini nimkasirikie mtu kutokana na majibu yake ya kejeli kwangu!

Mkuu Mshana Jr, ni jambo la kawaida sana kukutana na watu kama hawa maana hata mtaani tunakutana nao.
 
Nilitaka niwaite mje kutuelesa Siku mbaya zenyu jf nikasema nisije fanya Siku mbaya kwa mshana uzi ukafungwa staki mimi🀠!


Miss you kipenziii!!
ule uzi kuna mambo yaliendelea ndivyo sivyo binafsi nililiona hilo na kureply "kinacho endelea hapa ni ushuzi mtupu" na haikuchukua muda ukafungwa
 
Me mpenda shari niku ignore?? Thubutuuuuu!!!!! Nakusuuza mpk ukareport kwa mods [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni mwendo wa spana hadi unapoteana, sisi ukoo wetu tunauza ng’ombe kwa kesi ya kuku
Ukikukatana na mbabe wako unafanyaje?[emoji23][emoji23]
 
Kuna raia zina maneno ya kukera yani unaona kabisa hapa ban inanukia, mimi tangu niingie rasmi humu 2009 sijawahi pigwa ban.

Nawakwepa sana raia wa namna hii.
 
Me mpenda shari niku ignore?? Thubutuuuuu!!!!! Nakusuuza mpk ukareport kwa mods 🀣🀣🀣🀣
Ni mwendo wa spana hadi unapoteana, sisi ukoo wetu tunauza ng’ombe kwa kesi ya kuku
Aluuuuta continyuaaaaa
 
Shosti kwaheri uzi wa watu usije kufutwa bure afu ankal hana baya na mtu πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…