Njoo tuharibiane siku π€£π€£π€£Siwezi kuwa na siku mbaya jf labda mm ndio nitengeneze mwingine awe na siku mbaya, atayeingia kwenye 18 namlia tu timing akijisahau naanza kuruka nae mdogo mdogo hadi ataomba poo.
Kanuni yangu ni hii: Hear me, Fear me, Believe me
Hao kwenye ndege itakuwa modsπππShwaaaaβοΈ π€£π€£π€£π€£
π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ
Subiri niwatafutie ulingo, msiharibu uzi wa ankal wangu Mshana π€£π€£π€£π€£Wewe ni mmoja wao, naona umetoka pangoni.
Alafu baadae usianze kulialia. Naweka tahadhali tu
Shosti mods wako juu juu π€£π€£π€£Hao kwenye ndege itakuwa modsπππ
π€£π€£π€£Yeahhh hao waliochangia kwa asilimia nyingi zile hekaheka pale! Before palikua pametulia sana amani ilitawala pale!
Huyu haitaji ulingoSubiri niwatafutie ulingo, msiharibu uzi wa ankal wangu Mshana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23]Nakuona toka upewe pesa, umenifungia vioo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umefurahi?Shwaaaa[emoji3575] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2222][emoji2222][emoji2222]
π€£π€£π€£π€£ Tuko pamoja mkuu!Hapa JF ukija na akili timamu lazima ukwazike. Mimi binafsi muda mwingi huwa naingia hapa nikiwa Bar au nyumbani nakunywa pombe nikiwa alone
Wewe umeshindikana, sikuwezi tafuta mwingine[emoji23]Njoo tuharibiane siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msitu mpya nyani wale wale π€£π€£π€£New comers wapi mkuu ni walewaleee kivingine!!! Yani wanateseka sio kidogo
Mnajazana na shemeji yako π€£π€£π€£Na Huo ndio mpango....yaani ni kuignore Ili nigundue Nini?nitajitahidi kubalance maneno makali Ili nisile ban ila ni Bampa tu bampa
π€£πππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Umefurahi?
mnasalimiana kwa bashasha tu na matabasam kisha kila mmoja anazama kwenye simu yake mnaanza kuchambana humu bila kujua mko siti moja mda huo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]Watu mnatukanana na wajomba zenu mnaowaamkia kwa adabu huko uraiani...
Mmekaa kwenye siti moja kwwnye daladala mnasalimiana kwa bashasha tu na matabasam kisha kila mmoja anazama kwenye simu yake mnaanza kuchambana humu bila kujua mko siti moja mda huo[emoji38][emoji38][emoji38]
Ujinga wa kugombana mitandaoni ushaniacha zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππMita 1000
Hiii imeendaaa!!!!Kivumbi Leo
Wewe vipi? Una-ignore?Mnajazana na shemeji yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]