Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,791
- 34,790
Sawa dada na pole kwa yote. Mm ukweli kuignore sijui pako wapi, atayeingia kwenye 18 zangu namalizana naeMimi niliifunza....ni ngumu ila ukiweza utaenjoy sana mbele ya watu wapendao kuumiza wenzao....tena especially katika hii platform ya jf ...hatujuani unataka kujipa umuhimu kwenye maisha yangu.....naku ignore tu....chap Kwa haraka maisha mengine yanaendelea..
Yaani usijibu hata ile comment yake ya kwanza ya ujinga hata kuzoea tena
Hahahahaha ila usikubali akuharibie sikuSawa dada na pole kwa yote. Mm ukweli kuignore sijui pako wapi, atayeingia kwenye 18 zangu namalizana nae
Hakuna maswali mob lolote, jibu lipo straight.Okay,
Ngoja nisiendelee kuuliza manake tayari maswali mob mkuu. Tuishie hapa...
Asante kwa ufafanuzi.
😁😁😁😁Wa kunipa siku mbaya humu sijamuona🤣🤣🤣
Kubishana na watu wenye sonona nikawatilia maanani tena wenye fake IDs badooooo sanaaaa
Na nilivyo jeuri wala sikuweki kwenye ignore list bali nakukaza live kwenye comments mpk upoteane 🤣🤣🤣
Mm siku yangu haiharibiki jf hata siku moja.Hahahahaha ila usikubali akuharibie siku
Huu uzi 🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️!
Nimekuelewa sana mkuu wangu. Tuemdelee na yajayo kiongozi.Hakuna maswali mob lolote, jibu lipo straight.
Alafu kuwa huru usijiume sana
Hahaha unawatenga newcomers.Sikuhizi nikiona kimtu na ki id chake cha kuanzia 2021 kisichoeleweka kinaelekea kunichawia na quotes zake za kichawi hata sisumbuki kukijibu ! Tena wa joined 2023 ndio kabisaaaa [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
🙆🏾♀️🐒🐒😁😁😁Watakachofanikiwa ni kunireport kwa mods vinginevyo watachambia steel wire 🤣🤣🙈
🤣🤣🤣Acha kushangaa ERoni...shemeji umeelewekaMm sina muda wa kufatilia ila yananikuta njiani. Unasema nilijuaje?
Hao hakuna mwenye akili, wakishamaliza kuteta huwa wanapeleka umbea kwa mademu.
Mm nina access ya demu mmoja msg zake, hivyo nilikua sikubaliani na nachokiona
Naamini umeelewa
Sawa, pamoja.Nimekuelewa sana mkuu wangu. Tuemdelee na yajayo kiongozi.
@ModeratorHaikiyanani sitanii...
Nilowekaga Uzi very positive.....wakati nasafiri Kwa mara ya kwanza kwenda Nairobi...hotel za kufikia mpakani....na mikoa ya kibiashara....nikasema nikirudi nitashea na Mimi ktika huo....Uzi.
Naitafuta siuoni...
Niliandika hotel nzuri,salama kiiusalama na bei nafuu,nchi jirani ,mpakani na mikoa mbalimbali,,wakauhold sijajua kama Hadi Leo waliurudisha au lah..
Wanatatizo.....ila ukiandika Uzi WA kukulana au comments za kukulana wanazipenda sana.
Mi sijui kwanini aisee...
New comers wapi mkuu ni walewaleee kivingine!!! Yani wanateseka sio kidogoHahaha unawatenga newcomers.
😂😂😂Hapa JF ukija na akili timamu lazima ukwazike. Mimi binafsi muda mwingi huwa naingia hapa nikiwa Bar au nyumbani nakunywa pombe nikiwa alone
Muache ashangae[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha kushangaa ERoni...shemeji umeeleweka
Na Huo ndio mpango....yaani ni kuignore Ili nigundue Nini?nitajitahidi kubalance maneno makali Ili nisile ban ila ni Bampa tu bampaSawa dada na pole kwa yote. Mm ukweli kuignore sijui pako wapi, atayeingia kwenye 18 zangu namalizana nae
Shemeji acha utazua taharuki 😆Muache ashangae
Wala asipate shida akitaka majina yote wenye hizo tabia namuwekea hapa na hakuna atayebisha. Ndio maana sasa hivi wamekua wapole
Walishajimaliza wenyewe, mm napress tu enter button.