siku hizi wanaume kuvaa suruali za kubana sana,inanichukiza sana

Tatizo co tro za kubana tatizo ni mvaaji kuna mwngn akivaa tro pana anakuwa kama nguo ndo zimemvaa na wngn akivaa hvy viguo had maumbile yake yote yanamchora so evry must know what kind of clothes zinazo mfaa kama wakubana au wa bwanga ni hayo
 
Mambo mengine ni ngumu kuyabadili, ila ukiona yanakusumbua sana, we HAMA MJI tu!
 
Back
Top Bottom