Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,253
- 144,322
- Thread starter
- #141
Nishaachaga Kazi ya kutangaza watu. Au we huoni??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Oh ndo maana unauza basi.
Nishaachaga Kazi ya kutangaza watu. Au we huoni??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa unawashwa washwa nini kumsemea hapa ikiwa anauwezo huo wa kujisemea tena bila chujio???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani umesahau tunauzaga wote!!!Oh ndo maana unauza basi.
Basi mtoto awe ngedere[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hulijui kweli unaweza kulijua kwa ku google lakini hujui linatumikajeMkuu tusianze darasa tena kwenye Uzi huu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]maserati my ribs uwiii nakohoa jaman khaa hebu acha
Kwani umesahau tunauzaga wote!!!
Basi sawa shoga angu. Ila mi sijipendekezagi kwa mijinga jinga kama weweUsijipendekeze. Mi sikujui.
Atalijuaje siku hizi watu wakiona neno mitandaoni wanaandika bila kujua maana
Unahitaji ww mtoto mzuri
Mimi nataka nikuoe..nimekuelewa mtoto mzuri
Huyu nyani ni nyani ngedeny zake....kazi kujipendekeza.....mwanaume wa kweli ni kupambana mwenyewe. Unaachana na kutegemea mwanaume mwenzio....Kwani umesahau tunauzaga wote!!!
Nitumie kule hapa usiweke utafaidisha watu wengi na navyopenda ubuyu ,,nakujaaYeah yeah yeah one two one two...
Mmoja wa hao ma fans wangu ana sura mbaya kama ushuzi wa nguruwe.
Nikutumie picha yake?
Au niiweke hapa kwenye thread?
trump naye kumbe walewale tu, wabeba box kama ww sijui kwann anawafuga huko,
Unafikiri akisema ndo itamfutia uhalali wa kuwa suspect?Semeni tu. Midomo si yenu bana.
Lakini mjue naye anao na kusema anaweza.
Unafikiri akisema ndo itamfutia uhalali wa kuwa suspect?