Kwanini nisijue ?Anaogopa impeachment? Unajua maana ya hilo neno wewe?
Kwanini nisijue ?
Ila uliandika nini kuhusu weusi wenzio??? Wewe ndio unawehuka. Hujui real wala drama,fact wala opinion.Juzi sikuandika hicho unachodai.
Umewehuka?
Ha ha ha ha, dah! Nimechoka sana mkuuNikulilia timing tuu nakulinyuka konzi la utosini Na kwenye para lake.
Mbaff
Ila uliandika nini kuhusu weusi wenzio??? Wewe ndio unawehuka. Hujui real wala drama,fact wala opinion.
In short tia maji tia maji tu.[emoji57]
Mkuu tusianze darasa tena kwenye Uzi huu.Ungejua usingelitumia ulivyolitumia.
Komaa kuleta nyuzi za kumsifia huo mtaji utakulipaSihitaji kuteuliwa chochote mimi.
Na mange yupo wap? Pimbi mwenzenu!??Mungu mkuu wa yote. Ila ki ukweli jamaa ana roho ya paka, ingekua mimi wenda risasi mbili tu ningewaachieni dunia yenu zamaani.
Hivi we si uko nje ya nchi?? Nakushauri baki tu huko huko,maana naona ni tia maji tia mjai tu.
Kwa nini usadiki nataka au napenda kukutanishwa?Umeishiwa!