Km mtu anahisiwa kutenda kosa, hata akizungumza shit kwa wanaomhisi, unadhani ndo itawafanya wasiendelee kumhisi?Uhalali wa kuwa suspect???
Ndo nini hiyo?
Zote nataka[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Haya sema unataka picha ya fan yupi?
Huyo mwenye sura kama ushuzi wa nguruwe au huyo mwenye nywele za kama Babu Masali?
Zote nataka[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
HayaNtakupa ukiamka.
HayaNtakupa ukiamka.
Mdomo hauna chujio.....
Kiukweli mpaka hapa tumesha zoea mambo yake ya kuona Nchi hii ni mail yake.2020 atatujua watanzania kuwa haturudii Makosa.lets wait kwa kweli..... Ishu ya Lissu imekuwa serious sana
Umegusa ukweli wasipokuelewa shauri yao.. ila unajua hawanaga cha kuzungumzia ni kumsubiri yeye aongee. Naisubiria kwa hamu sana siku hiyo.. namuaminia sana kwa zake anavyoweza kujipanga.
Ngoja tuzidi kuona akina nani wanatoka pangoni wakizidiwa na haswa ukimya aliouweka... maneno yake eeeeh huwa yanawabwaga pwaaaa.. eeh
Magufuli oyeeeee
Kiukweli mpaka hapa tumesha zoea mambo yake ya kuona Nchi hii ni mail yake.2020 atatujua watanzania kuwa haturudii Makosa.
Hajanunua Kitu North Korea acha kukariri.Report za 1961-1976 za CIA mnashindwa hata kujua taratibu za CIA na Top secret reportMapigo yake ya SMG tumeshayaona tunasubiri mapigo yake ya Air Strikes anazonunua kutoka North Korea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanafikiri JF ndiyo Tanzania? Umesema ukweli2020 mnadhani atashindwa?
Ukweli wa mambo ni kwamba Magu ana grassroots support kubwa sana kuliko ambavyo inavyodaiwa humu JF.
Mtashangaa 2020 anashinda kwa asilimia 80 na hapo ndo mtapolia na kusaga meno.
Upinzani bado sana kuweza kuchukua dola kupitia sanduku la kura.
Huyo ataondolewa Dodoma! Wajumbe wote wamemchoka, wamebaki wasukuma wachache sana.Hivi mnadhani watanzania wajinga hivyo?2020 mnadhani atashindwa?
Ukweli wa mambo ni kwamba Magu ana grassroots support kubwa sana kuliko ambavyo inavyodaiwa humu JF.
Mtashangaa 2020 anashinda kwa asilimia 80 na hapo ndo mtapolia na kusaga meno.
Upinzani bado sana kuweza kuchukua dola kupitia sanduku la kura.