[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbiti weeee duh...yaajn nacheka had tesrs jaman dah bora aisee tupunguze machungu
Na kama amehusika kwa njia moja ama nyingine,ni bora akae kimya maana akilizungumzia tu atajikuta ametoboa ukweli juu ya uhusika wake bila yeye kujua anatoboa siriKama nilivyokuwa natarajia baada ya kupata habari za jaribio la kuchukua uhai wa Tundu Lisu, akili za watu wengi ziliwatuma kumhisi rais Magufuli kuwa ndiye anahusika na jaribio hilo.
Mpaka sasa huyo bwana mkubwa hajalizungumzia tena hadharani hilo jambo zaidi ya yale maneno yake machache ya kulaani hilo shambulio kwenye mtandao wa Twitter.
Maneno mengi sana yanasemwa na nadharia kadha wa kadha zimebuniwa kuhusu uhusika wake.
Na kwa kadri nijuavyo yeye hajasema lolote juu ya hayo yanayosemwa. Naamini hajasema hivyo kwa makusudi tu na si kwa sababu hajui kuwa anasemwa semwa na kuhisiwa kuwa yeye ndiye mhusika.
Naamini huwa anapita sana humu na kusoma yanayosemwa na watu anaowaongoza.
Lakini naamini pia ya kwamba ipo siku atalizungumzia tu hili suala.
Na hiyo siku ikifika, maneno atakayoyasema, yasije tu kuwaliza. Yule bwana siyo mtu wa PC [political correctness].
Mdomo wake hauna chujio. Yatokayo huwa yanatoka hivyo hivyo yalivyo. Hayapitii chujio wala uhariri.
Siku ya yeye kulizungumzia hilo suala, naamini atakwaruza na kujeruhi hisia za watu wengi.
Hivyo kaeni mkao wa kupokea maneno ambayo hamkuyataraji.. msije tu mkasema Ngabu hakuwatonya!
Ni mimi wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,
Alhaji Ngabu.
Kumbe ni pwezaChoko mchokoe pweza..siku akijibu mwanaume watatafutana
Na kama amehusika kwa njia moja ama nyingine,ni bora akae kimya maana akilizungumzia tu atajikuta ametoboa ukweli juu ya uhusika wake bila yeye kujua anatoboa siri
Nyani Ngabu,
..siku "akijibu" au akijibu?
..kuna kupotea kwa Ben Saanane.
..je, "amejibu" tayari, au..
..Je kuna kulia zaidi ya hivi tunavyomlilia TL?
..kuna kuumia zaidi ya alivyoumizwa TL?
..EEH MUNGU TUSAIDIE.
Huna uhakika??
Umeolewa??
Nishaachaga Kazi ya kutangaza watu. Au we huoni??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hehehee kantangaze basi.
Ipo siku nahisi ataliongelea hili.
Yaani atuambie tu herufi ya jinahahhahahhaha tutamsaidia kumpa jina mwanae tu hatuna tabu sie
Umenichichimua mwili jamooni[emoji13] [emoji108]umewah kojoza mtu ww au unaongea tu
Yaani atuambie tu herufi ya jina
Atalijuaje siku hizi watu wakiona neno mitandaoni wanaandika bila kujua maanaAnaogopa impeachment? Unajua maana ya hilo neno wewe?
Sasa unawashwa washwa nini kumsemea hapa ikiwa anauwezo huo wa kujisemea tena bila chujio???Hapana.
Hanijui na hatujuani.
Basi mtoto awe ngedere[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nimecheka sana jaman! ndo maana anaitwa [HASHTAG]#nyani[/HASHTAG]