Siku akijibu mapigo msilie

Siku akijibu mapigo msilie

Status
Not open for further replies.
Hakuna nilipojihami maana huna ujualo.

Nijihami dhidi ya juhaa kama wewe?

Hahahahaaaa bado sana.
Povu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi kama unaona sijui lolote basi we endelea kumsifia mumeo mtarajiwa,tusije vuana Nguo ukakosa hadi chupi ya kujisitiri.
 
Povu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi kama unaona sijui lolote basi we endelea kumsifia mumeo mtarajiwa,tusije buana Nguo ukakosa hadi chupi ya kujisitiri.

Povu unatoa wewe.

Siwezi tolea povu juhaa mwenye single digit IQ.
 
Kama nilivyokuwa natarajia baada ya kupata habari za jaribio la kuchukua uhai wa Tundu Lisu, akili za watu wengi ziliwatuma kumhisi rais Magufuli kuwa ndiye anahusika na jaribio hilo.

Mpaka sasa huyo bwana mkubwa hajalizungumzia tena hadharani hilo jambo zaidi ya yale maneno yake machache ya kulaani hilo shambulio kwenye mtandao wa Twitter.

Maneno mengi sana yanasemwa na nadharia kadha wa kadha zimebuniwa kuhusu uhusika wake.

Na kwa kadri nijuavyo yeye hajasema lolote juu ya hayo yanayosemwa. Naamini hajasema hivyo kwa makusudi tu na si kwa sababu hajui kuwa anasemwa semwa na kuhisiwa kuwa yeye ndiye mhusika.

Naamini huwa anapita sana humu na kusoma yanayosemwa na watu anaowaongoza.

Lakini naamini pia ya kwamba ipo siku atalizungumzia tu hili suala.

Na hiyo siku ikifika, maneno atakayoyasema, yasije tu kuwaliza. Yule bwana siyo mtu wa PC [political correctness].

Mdomo wake hauna chujio. Yatokayo huwa yanatoka hivyo hivyo yalivyo. Hayapitii chujio wala uhariri.

Siku ya yeye kulizungumzia hilo suala, naamini atakwaruza na kujeruhi hisia za watu wengi.

Hivyo kaeni mkao wa kupokea maneno ambayo hamkuyataraji.. msije tu mkasema Ngabu hakuwatonya!

Ni mimi wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,

Alhaji Ngabu.

Labda watu pia wanamuhukumu sababu ya kauli zake kabla ya tukio,,,na hayo unayosema kuwa mdomo wake hauna breki uenda yanachangia watu kujenga dhana, ,,,,
 
Shoga angu tusije kulambwa ban. Achana nae huyo twende huku
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]

Endeleeni kunisoma nami ntaendelea kuwatoa povu.

Juhaa kama jiwe.
 
Povu unatoa wewe.

Siwezi tolea povu juhaa mwenye single digit IQ.
Kwa IQ gani za kujisifu wewe hapo jomoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haihitaji akili nyingi kung'amua hili ambalo wewe bado hulijui yet unajifanya akili mingi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakojoaa
 
Alisema ata deal nao nje ya bunge.Na sio kwamba anawatisha.
 
Kwa IQ gani za kujisifu wewe hapo jomoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haihitaji akili nyingi kung'amua hili ambalo wewe bado hulijui yet unajifanya akili mingi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakojoaa

Kojoa tu kwani umekatazwa?
 
Mambo kama haya yanataka muda muafaka na sisi tungojee huo muda ufike.

Kimya kingi.........
 
Kama nilivyokuwa natarajia baada ya kupata habari za jaribio la kuchukua uhai wa Tundu Lisu, akili za watu wengi ziliwatuma kumhisi rais Magufuli kuwa ndiye anahusika na jaribio hilo.

Mpaka sasa huyo bwana mkubwa hajalizungumzia tena hadharani hilo jambo zaidi ya yale maneno yake machache ya kulaani hilo shambulio kwenye mtandao wa Twitter.

Maneno mengi sana yanasemwa na nadharia kadha wa kadha zimebuniwa kuhusu uhusika wake.

Na kwa kadri nijuavyo yeye hajasema lolote juu ya hayo yanayosemwa. Naamini hajasema hivyo kwa makusudi tu na si kwa sababu hajui kuwa anasemwa semwa na kuhisiwa kuwa yeye ndiye mhusika.

Naamini huwa anapita sana humu na kusoma yanayosemwa na watu anaowaongoza.

Lakini naamini pia ya kwamba ipo siku atalizungumzia tu hili suala.

Na hiyo siku ikifika, maneno atakayoyasema, yasije tu kuwaliza. Yule bwana siyo mtu wa PC [political correctness].

Mdomo wake hauna chujio. Yatokayo huwa yanatoka hivyo hivyo yalivyo. Hayapitii chujio wala uhariri.

Siku ya yeye kulizungumzia hilo suala, naamini atakwaruza na kujeruhi hisia za watu wengi.

Hivyo kaeni mkao wa kupokea maneno ambayo hamkuyataraji.. msije tu mkasema Ngabu hakuwatonya!

Ni mimi wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,

Alhaji Ngabu.
Harafu akishasema hayo mweno mfo inakuwaje je yatatoa moto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom