Siku 7 zatolewa kwa wamiliki wa viwanja Kigamboni kuvifanyia usafi au kutozwa faini, utaifishaji au umiliki wa viwanja husika kufutwa

Siku 7 zatolewa kwa wamiliki wa viwanja Kigamboni kuvifanyia usafi au kutozwa faini, utaifishaji au umiliki wa viwanja husika kufutwa

Joined
Jun 26, 2024
Posts
33
Reaction score
46
Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni inawataarifu wamiliki wa viwanja vya matumizi mbalimbali ndani ya Manispaa hiyo kufanya usafi kwwenye viwanja vyao ndani ya siku saba (7) tangu leo Agosti 07, 2025.


Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano wa Manispaa imesema kwamba baada ya siku hizo saba (7) itafanya ukaguzi katika maeneo ya Manispaa na kuchukua hatua za kisheria kwa wale ambao hawatakuwa wamefanya usafi katika viwanja vyao ikiwemo kutoza faini, kufuta umiliki au kutaifisha viwanja vilivyotelekezwa kwa kuzingatia vifungu 44 - 55 vya Sheria ya Ardhi Namba 4, ya mwaka 1999.

Taarifa kwa Umma dalmiamikaya pendo_mahaluerastokiwale2011 kateti_selemani#Kigambonisafinim.png
 
Back
Top Bottom