Siku 14 kabla ya Ukombozi waliomteka Kamanda Odero wa CHADEMA Wajisalimishe Polisi

tunakemea na tunalaani kitendo kilichofanywa na wafuasi wa lowassa na ccm wilayani monduli cha kumteka na kumtesa kijana wa chadema ambaye pia ni kiongozi wa vijana wa chadema arusha wajisalimishe polisi.

Tunatoa siku 14 anzia leo tarehe 29th sept 2011 kama serikali itaona kilichofanyika ni sawa basi yatakayoikumba serikali na nchi asilaumiwe mtu.hili haliwezi kuvumilika na pia imefika wakati sasa ccm ielewe kuwa kama ni fujo tunazijua sana tena sana tuu pia tumechoka sana tunaomba msitufikishe kwenye kulipizana visasi.

Tuna uwezo wa kufanya hii nchi isitawalike tena,vyombo vyote vya usalama visiwasaidie chochote.

Kikwete waambie hawa ccm wenzio amani tunaipenda lakini msitupatie machungu zaidi ya wizi na uchafu mliokwisha fanya wa kuuza na kutaifisha rasilimali zote za nchi. Pia magufuli elewa kila goti litapigwa na kamwe usiwadanganye wana igunga kuwa utawasaidia sasa, mlikuwa wapi miaka 50?
kama kawaida kisima cha fujo tushawazoea..
 
Mkuu Kimbunga, mpenda amani unasikia hayo maneno ya hawa CDM huyu Mangi ni kiongozi wa Bavicha unategemea nini hapo!

Kila siku nasema CDM wasipokuwa makini kuruhusu wahuni na wavuta bange ndani ya chama kuwa na nguvu, kila siku kitakuwa chama cha wahuni
Hao waliomteka Odero unawaweka kundi gani???????????Nao pia ni CHADEMA unaodai wanapenda fujo??????? Nyinyi CCM mmeprove beyond daught kuwa ni watu wa fujo na wauaji. Watu wakiamua kulipa usipige kelele umelikologa mwenyewe ulinywe, umelianzisha mwenyewe ulikabili!!!!!!!!!Mwambie Andengenye amtafute huyo Odero kabla mambo hayajaharibika!!!!!!!!!!!!!!
 
tunakemea na tunalaani kitendo kilichofanywa na wafuasi wa lowassa na ccm wilayani monduli cha kumteka na kumtesa kijana wa chadema ambaye pia ni kiongozi wa vijana wa chadema arusha wajisalimishe polisi.

tunatoa siku 14 anzia leo tarehe 29th sept 2011 kama serikali itaona kilichofanyika ni sawa basi yatakayoikumba serikali na nchi asilaumiwe mtu.hili haliwezi kuvumilika na pia imefika wakati sasa ccm ielewe kuwa kama ni fujo tunazijua sana tena sana tuu pia tumechoka sana tunaomba msitufikishe kwenye kulipizana visasi.

Tuna uwezo wa kufanya hii nchi isitawalike tena,vyombo vyote vya usalama visiwasaidie chochote.

Kikwete waambie hawa ccm wenzio amani tunaipenda lakini msitupatie machungu zaidi ya wizi na uchafu mliokwisha fanya wa kuuza na kutaifisha rasilimali zote za nchi. Pia magufuli elewa kila goti litapigwa na kamwe usiwadanganye wana igunga kuwa utawasaidia sasa, mlikuwa wapi miaka 50?

acheni mikwaraaaaa nyie.mlio wa chura haumzuii tembo kunywa maji...
 
Mambo ya Monduli hayo, sio kila sehemu ni Igunga. Kumbuka, ukimwaga mboga, yeye anamwaga ugali. Sasa vyote vimemwagika ndio unakumbuka kuwa mwenzako kashiba na wewe hukushiba? Vile vile kabla ya vitisho kumbuka kuwa what goes around comes around, au kisayansi to every action there is always an equal and opposite reaction. Hivyo kama nchi haitatawalika kwa CCM, unafikiri inaweza kutawalika kwa CDM? Kumbuka bado tunapeleka chakula Somalia. Na mwisho kumbuka mfalme Suleimani aliomba HEKIMA

Amani ni kuteka Watanzania na kuwapiga?Amani inakuwa applied kwa Ccm tuu?Amani ipi wewe unayoisemea?na Mfalme Suleiman amefikaje hapa?
 
Tunakemea na tunalaani kitendo kilichofanywa na Wafuasi wa Lowassa na Ccm wilayani Monduli cha kumteka na kumtesa kijana wa Chadema ambaye pia ni kiongozi wa Vijana wa Chadema Arusha wajisalimishe polisi.

Tunatoa siku 14 anzia leo tarehe 29th Sept 2011 kama serikali itaona kilichofanyika ni sawa basi yatakayoikumba Serikali na Nchi asilaumiwe mtu.Hili haliwezi kuvumilika na pia imefika wakati sasa Ccm ielewe kuwa kama ni fujo tunazijua sana tena sana tuu pia tumechoka sana tunaomba msitufikishe kwenye kulipizana visasi.

Tuna uwezo wa kufanya hii nchi isitawalike tena,vyombo vyote vya Usalama visiwasaidie chochote.

Kikwete waambie hawa Ccm wenzio amani tunaipenda lakini msitupatie machungu zaidi ya wizi na uchafu mliokwisha fanya wa kuuza na kutaifisha rasilimali zote za nchi. Pia Magufuli elewa Kila Goti Litapigwa na kamwe usiwadanganye wana Igunga kuwa utawasaidia sasa, mlikuwa wapi miaka 50?

Duh hata thread hujui kuandika mkuu, kazi kweli kweli. Habari na kichwa cha habari wala havieleweki sijui unazungumzia kuteka nyara au kampeni za igunga au ahadi za ccm. Andika vizuri ndipo urudi tena hapa, hapa ni home of Great Thinkers sio kijiwe chako cha kahawa hapo sijui monduli
 
Tunakemea na tunalaani kitendo kilichofanywa na Wafuasi wa Lowassa na Ccm wilayani Monduli cha kumteka na kumtesa kijana wa Chadema ambaye pia ni kiongozi wa Vijana wa Chadema Arusha wajisalimishe polisi.

Tunatoa siku 14 anzia leo tarehe 29th Sept 2011 kama serikali itaona kilichofanyika ni sawa basi yatakayoikumba Serikali na Nchi asilaumiwe mtu.Hili haliwezi kuvumilika na pia imefika wakati sasa Ccm ielewe kuwa kama ni fujo tunazijua sana tena sana tuu pia tumechoka sana tunaomba msitufikishe kwenye kulipizana visasi.

Tuna uwezo wa kufanya hii nchi isitawalike tena,vyombo vyote vya Usalama visiwasaidie chochote.

Kikwete waambie hawa Ccm wenzio amani tunaipenda lakini msitupatie machungu zaidi ya wizi na uchafu mliokwisha fanya wa kuuza na kutaifisha rasilimali zote za nchi. Pia Magufuli elewa Kila Goti Litapigwa na kamwe usiwadanganye wana Igunga kuwa utawasaidia sasa, mlikuwa wapi miaka 50?
Mungu Ibariki Tanzania yetu
 
Sijasoma chochote kipya kwani HIZO NDIO LUGHA ZA CHADEMA ninazozifahamu. Mlijaribu Arusha yakawatokea puani na hata vyama vingine vya upinzani vikawatosa. Leo mnataka kujaribnu tena, nyie endeleeni kwani asiyefunzwa na wazazi wake dunia itamfunza.
 
Mkuu kama kiswahili kimekupita kando bora usichangie mada ambayo iko wazi. Mtu anaposema isitawalike maana yake aliyeko madarakani hatoweza kutawala kwa amani au kushindwa kabisa. Baada ya hapo ndo utafakari maelezo. Je ni vema nchi kutotawalika?
 
Mangi! acha mikwara mbuzi hii nchi ni ya amani, eti unatoa siku 14 baada ya hapo eti mtu asilaumiwe.

Toa basi tamko muitishe maandamano nchi nzima hicho ndio mnachokijua

Mapinduzi ya Tunisia na Misri yalianzishwa na mitandao ya jamii kama JF, tuwe makini, haki iheshimiwe, sheria zifuatwe. Vinginevyo tunaweza kujikua pabaya.
 
Back
Top Bottom