Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,723
Robertinho bado ni kocha mwenye mapungufu mengi, wanaomfananisha na Nabi naona wanasukumwa na mihemko ya kishabiki na sio uhalisia.
Mechi na Namungo akupaswa kufanya utoto kama ule eti anawapumzisha wachezaji wa kikosi cha kwanza kwa ajili ya Nusu Fainali Azam Federation, unatakiwa ushike kwanza kilichopo mbele yako ndio upange mipango ya kinachofata.
Kama Simba ingeshinda mechi na Namungo ingeongeza presha kwa Yanga na lolote lingeweza kutokea kwenye mpira angalau kuweka hai matumaini ya kuufukuzia ubingwa.
Matokeo yake kairahisishia kazi Yanga ya kibeba Ubingwa na bado hapo hapo Kombe alilokuwa analipigia hesabu nalo katandikwa ipasavyo, sasa faida yake nini? Msimu huu Simba inatoka patupu kwa mara nyingine!
Unaacha kumpanga kipa mwenye uzoefu kakolanya unampanga kipa anayesumbuliwa na tatizo la uzoefu? Eti kwa kuwa kasaini Singida Big Stars🤔🤔, huyo dogo ndiye kawacost Simba pakubwa kwenye mechi muhimu.
Sidhani kama kakolanya angefanya makosa kama anayofanya dogo mara kwa mara, na hata mechi ingeenda matuta bado Azam walikuwa na uhakika wa kusonga mbele.
Kuanzia mechi na Ihefu, Yanga na Whydad ambazo dogo anasifiwa eti alifanya vizuri ni mechi ambazo alikuwa analindwa sana na mabeki pamoja na viungo maana walikuwa wanajua wakiruhusu apokee mashambulizi ya mara kwa mara ingekuwa ni maafa.
Sasa basi wajipange msimu ujao, na kocha huyu sio mzuri kwenye sub zake, ndio maana Nabi anabaki kuwa Profesa wa mpira kwa sasa.