Sikieni hoja za wazanzibar

Sikieni hoja za wazanzibar

Si kweli, BAKAZA, Maridhiano, Uamsho ambazo ni vuisemeo vya wazanzibar hakuna hata mmoja aliyewahi kusema hataki muungano. Tena Mansour, Jusa na Moyo tarehe 6 Oktoba pale bwawani walitamka wanataka muungano. Weweuna nini zaidi ya hao?

Pili, wznz wanataka muungano wa mkataba wa nini.
Tatu, kwanini bado wapo kwenye mchakato na wanatoa hoja tena za kutaka makao makuu ya JMT yahamie znz, hapo unasemaje, hawataki muungano.

Tatu, hoja si muungano. Ukisoma bandiko ni wazi kuwa SMZ kwa kupitia ZMA inayosajili meli kupitia Phailatex ya Dubai imetumia bendera msioitaka ya JMT kufungia mzigo wa bangi. Hilo likiwa ni aibu katika uso wa dunia , bila haya wala soni au chembe ya weledi na ufahamu waziri wa miundo mbinu anashambulia magazeti ya bara na si bangi, huoni tatizo hapo.

Waziri hajui habari zimeonyeshwa na TV na magazeti yote makubwa dunia na kwamba hizo ni habari hakuna sababu ya kuzificha. Biashara ya bangi ni biashara ya mihadarati kwahiyo ZNZ ilitakiwa ichukue bendera yake (kama inatahamani yoyote) ifungie tani 30 za bangi.
Kutumia bendera ya JMT ni uhuni, ukaidi tena waziri akiutetea kwa hoja dhaifu kama mtoto wa form 2B

Tunamshukuru mungu, waziri hakuomba sehemu ya bangi iliyoungua irudishwe znz maana anything is possible in spice and bangi island

Nataka kutapika hapa hao uliowataja wa 2 ni vibaraka wa ccm wachumia tumbo na sio waznz wewe njoo znz utajua kama watu wanataka huu muungano wenu fake?
 
Kelele za nini vunjeni basi sisi hatutaki kwanza huo so called muongano
Waambie UAMSHO, BAKAZA na Maridhiano waache mkataba wa muungao, wasiombe ulinzi na usalama kwanza.

Usihofu Tanganyika inarudi na hakuna wa kuizuia sasa, ipo siku utarudi hapa jamvini kwa machozi.
Kuna mwenako alisema Tanganyika mbaya juzi kajinyonga baada ya kuambiwa arudi kwao, husomi habari wewe?
 
Zanzibar itakuwa kama dubai why should I come there mafisadi majambazi wauza sembe
 
Nataka kutapika hapa hao uliowataja wa 2 ni vibaraka wa ccm wachumia tumbo na sio waznz wewe njoo znz utajua kama watu wanataka huu muungano wenu fake?
Wabunge wapo Dodoma! Makamu wa rais yupo magogoni, Vuai yupo mtaa wa Ohio na wengine wengi.

Sasa kama Moyo na Jusa ni vibaraka, vipi Maalim na Sheriff.

Nitajie baraza moja tu lililokataa muungano.
Halafu wzn wapi hawataki muungano ikiwa nusu yao wanaishi na kuhemea dhiki bara?
 
Mnawivu sana na znz na you can't do without znz huyo baba enu obama anasema msije kuiwacha znz lakini waznz watatumia skill na tactics zote mtakimbia wenyewe
Hatuna wivu wa biashara ya bangi inayofanywa na SMZ. Hatuna kabisa.

Waziri wa miundo mbinu keshaitetea sisi tunasema bendera yetu kufungia tani za bangi haifai!

Inachafua sura ya nchi na hata znz. Hivi OIC(Shirika la dini) wakisikia znz inafanya baiashara ya bangi watakuwa happy kweli,
 
Mkuu futa kauli yako sisi hatufanyi biashara ya bangi
 
Wabunge wapo Dodoma! Makamu wa rais yupo magogoni, Vuai yupo mtaa wa Ohio na wengine wengi.

Sasa kama Moyo na Jusa ni vibaraka, vipi Maalim na Sheriff.

Nitajie baraza moja tu lililokataa muungano.
Halafu wzn wapi hawataki muungano ikiwa nusu yao wanaishi na kuhemea dhiki bara?

Hao wote ni vibaraka wa ccm na wapemba wapo bara sio majambazi wanafanya biashara nyinyi mpo znz hamna kazi yenu niwizi na ujambazi tu
 
Si kweli, BAKAZA, Maridhiano, Uamsho ambazo ni vuisemeo vya wazanzibar hakuna hata mmoja aliyewahi kusema hataki muungano. Tena Mansour, Jusa na Moyo tarehe 6 Oktoba pale bwawani walitamka wanataka muungano. Weweuna nini zaidi ya hao?

Pili, wznz wanataka muungano wa mkataba wa nini.
Tatu, kwanini bado wapo kwenye mchakato na wanatoa hoja tena za kutaka makao makuu ya JMT yahamie znz, hapo unasemaje, hawataki muungano.

Tatu, hoja si muungano. Ukisoma bandiko ni wazi kuwa SMZ kwa kupitia ZMA inayosajili meli kupitia Phailatex ya Dubai imetumia bendera msioitaka ya JMT kufungia mzigo wa bangi. Hilo likiwa ni aibu katika uso wa dunia , bila haya wala soni au chembe ya weledi na ufahamu waziri wa miundo mbinu anashambulia magazeti ya bara na si bangi, huoni tatizo hapo.

Waziri hajui habari zimeonyeshwa na TV na magazeti yote makubwa dunia na kwamba hizo ni habari hakuna sababu ya kuzificha. Biashara ya bangi ni biashara ya mihadarati kwahiyo ZNZ ilitakiwa ichukue bendera yake (kama inatahamani yoyote) ifungie tani 30 za bangi.
Kutumia bendera ya JMT ni uhuni, ukaidi tena waziri akiutetea kwa hoja dhaifu kama mtoto wa form 2B

Tunamshukuru mungu, waziri hakuomba sehemu ya bangi iliyoungua irudishwe znz maana anything is possible in spice and bangi island

Mkuu mimi nimefanya kazi nikiwa frontline kwenye kwahao vibaraka sawa najua kila kitu usitake tuongee sana
 
Mkuu Nguruvi3
Kuna watu ndani ya SMZ wanajua undani wa tatizo hili na sishangazwi kuona waziri mhusika kutoka SMZ anakuja na majibu mepesi kama aliyoyatoa; tatizo hapa sio faini tatizo ni kuharibiwa kwa jina la Tanzania kwenye medani za kimataifa; $500, 000 sio kitu kabisa; huu muungano hauna faida hawa watu hawana shukrani kama unakumbuka walipopata hisia kuwa Zanzaibar kuna mafuta waziri mhusika siku ya pili yake aliweka wazi mafuta sio suala la muungano; hivi sasa wamenyamaza kimya kwasababu hawana uhakika na mafuta yenyewe ila wana uhakika kuna gesi Mtwara na mikoa ya kusini wanasubiri wale pesa ya gesi kama walivyokula ya almasi ya mwadui; pamba ya Shinyanga; Katani ya Tanga hawa sio wenzetu choyo kimewatala!

kwa hiyo msimamo wako ni upi gamba we? Serikali 2 au 3?
 
Last edited by a moderator:
wazanziabari wanaokufa Dafur DRC wale ni nani SMZ au JMT wacheni upumabvu
kama wenzenu wamekuzidini kete mlie tu

nimeipenda hii! Si wairuhusu uamsho. Kikwete huyu huyu kafunga hadi mabilioni yao
 
zanzibar ilijitoa katika sheria za jamhuri ya muungano ya usafiri wa majini ya mwaka 2003 na kuunda sheria yake ya bahari na usafiri ya mwaka 2006 na kuanzisha chombo chao, zanzibar maritime authority((zma) 2006.

Zma haijaandikishwa na shirika la international maritime organization(imo) isipokuwa kupitia jamhuri ya muungano wa tanzania(jmt) ambayo inalipa ada za usajili. Jmt haipati mapato kutoka zma au biashara zinazotokana.

Meli ilizosajili zanzibar ni 400 kupitia wakala wake aiyeko dubai kampuni ya philatex. Mapato yatokanayo huingia smz na jmt haipati chochote isipokuwa jukumu la kulipa ada kwa chombo huru na chenye mamlaka kamili cha smz

mwezi june meli zilizosajiliwa na zanzibar zilikiuka vikwazo vya un kwa kusafirisha mizigo ya iran na kuiweka jmt katika wakati mgumu ikiwa ni pamoja na kuwekewa vikwazo vya uchumi.

iran haijawekewa vikwazo na un kusafirisha mafuta yake, imewekewa vikwazo vya kuhusu technologia ya neuclea . Ni marekani na washirika wake ndio walio weka vikwazo vya mafuta, lakini china india turkey na wengineo wana nunua mafuta kutoka iran. Sisi kwa vile ni omba omba basi tunawaogopa wafadhiliwetu hivyo kukubali shindikizo lao kufutia leseni meli hizo

wiki hii meli yenye tani 30 zenye thamani ya bilioni milioni 125 zikiwa zimesajiliwa na zma chombo cha smz imekamatwa huko italia. Hiyo ni sehemu tu ya meli mbovu ambazo zimesajiliwa. Umoja wa ulaya (eu) umeiweka tanzania katika nchi zenye vyombo hatari vya majini na vinavyohitaji ukaguzi.(siyo smz ni jmt).

dubai ndiko kuna agent ambaye anafanya ukaguzi na usajili wa meli zote za tanzania/zanzibar. Dubai ni sehemu ambayo ina viwango vya kimataifa na meli hiyo ni kiwango.
Kupakia kwa bangi au gongo si tatizo la meli..au walo sajili meli..bali ni tatizo la bandari husika ya nchi ilipo toka na kupakia meli hiyo. Huo mzigo si wa wenye meli na wao hawahusiki. Juzi agnes mwasongo nani sijui yule mrembo mwenye wowo kubwa alikamatwa akiwa south afrika airpprt na alipanda ndege ya south afrika na kama umewahi kusafiri sio kazi ya kaptain kusachi mizigo iliomo humo
ndio maana kuna kampuni kama swiss port na airport authority wanao cheki mizigo
na meli ni hivo hio...kaptai wa meli hatazami kila container linalo pakiwa hio ni kazi ya bandari na polisi wa nchi ile inapo pakiwa mzigo...

ikumbukwe smz ilishajitoa kuhusu masuala ya usafiri wa majini tangu mwaka 2006 na kuwa na mamlaka kamili

jana waziri wa mawasiliano na miundo mbinu wa smz rashid seif suleiman amevilaumu vyombo vya habari vya tanzania bara kuhusu kuandika habari hizo. http://www.habarileo.co.tz/index.ph...meli-zilizosajili-zanzibar-zaichafua-tanzania na http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/22134-katiba-still-a-thorny-issue

waziri wa smz haoni tatizo la kusafirisha mzigo wa bangi lilivyoichafua jmt ambayo zanzibar ilishajitoa katika sheria na kuanzisha zma ila anaona tatizo habari hizo kuandikwa

vyombo vya habari vinafanya kazi ya wivu inapo tokea kitu kutoka zanzibar..huwa havipendi kuona zanzibar ina mipango ya kuongeza mapato..hivo wali ripoti kwa wivu, uchoyo na husda..ndio maana waziri akasema hivyo.
Kupakiwa bangi kwenye meli si tatizo la usajili wa meli ..ni sawa na mbwana matumla na kaniki walokamatwa wakitapanda ndege ya eithopia wakitokea burundi ..jeee ile ndege iliyo wachukua kutoka burundi na unga wao nayo ina matatizo ?//

waziri mwakyembe wa jmt ameingilia kati kufuatilia kadhia hiyo kwasababu tanzania ndiyo yenye bendera na usajili wa imo (siyo meli) inakabliwa na kibano cha kimataifa kama ilivyokuwa kwa meli za iran.
Gharama za zma kule imo zinalipwa na jmt na waziri anatumia muda na gharama za jmt kuzuia uharibifu wa meli yenye mzigo wa bangi ya smz.

bendera ni muungano na zanzibar ni muungano hio ni yetu wote siyo kwa matumizi ya tanganyika pekee yake
waziri huyo wa miundo mbinu wa smz alikaririwa na gazeti jana akisema faini inayotokana na kukiuka mkataba kati ya wenye meli na smz ambayo ni dollar 500,000 italipwa kwa smz(siyo jmt)

nilidhani waziri wa smz alitakiwa aeleze nini kimetokea hadi mzigo wa bangi tani 30 ukamatwe kwa jina la nchi ya tanzania (siyo zanzibar)huku tukifahamu mapato yatokanyo na shughuli za meli hizo ikiwa ni pamoja na faini tarajiwa ni ya smz.
hiyi ni biashara ya zanzibar ndani ya muungano...hayakuhusu

ninajiuliza:
1. Kama zanzibar ilishajitoa na kuanzisha zma kwanini meli zake hazisajiliwi na smz tukijua wana bendera yao

bendera ya tanzania ni ya pamoja sio ya tanganyika pekee. Ikiwa znz wanahitajio la kuitumia watatumia.. Na kama tanganyika inaposaini mikataba kwa niaba ya tanganyika kuweka bendera hio..
2. Kwanini kodi ya jmt ambayo ni ya mtanganyika itumike kuhudumia shughuli za smz

kodi gani ya mtanganyika ? Mtanganyika ndie anakula kodi ya zanzibar, visa, airport charges, simu , posta, vat, custom duty, zote za upande wa zanzibar wanazila tanganyika
3.kwanini waziri mwakyembe ashughulikie suala hili ambalo si la muungano

sio lazima kweli akae e kimya , hapo sawa...kuna wauza unga wengi tanganyika awashughulikie

4. Je waziri mh suleiman wa smz anajua madhara yatakayomkumba mtanganyika kutokana na biashara ya smz ambayo haimhusu kwa namna yoyote?

ndio faida ya muungano...kustahamiliana ..kama hutaki vunjeni..kwa ni na anaushikilia uwepo
5. Kuna tatizo gani vyombo vya habari kuandika kuhusu kakamatwa kwa mzigo wa biashara wa meli zilizosajiliwa na zma ambacho ni chombo halali cha smz? Vyombo vya habari vimekosea nini na wapi?

hakuna tatizo ila ubaya upo unapo potosha na ama unapokua na chuki..na sehemu ambayo umeungana nayo hapo ndio kuna tatizo
hebu tuellimishane kwa pamoja wanajamvi wote

jokakuu ghibuu nonda mzee mwanakjiji mchambuzi jasusi emt ngongo platozoom barubaru zitto mnyika ritz chama mkirua zinedine ashadii gfsonwin the bigshow kimweri fundi mchundo bongolander

ahsanteni

nadhani ume eleimika vya kutosha
 
Huwa ninajiuliza sana lakini sipati majibu hivi kati ya Tanganyika na Zanzibar ni nani huwa anang'ang'ania huu muungano.
 
hii inaonyesha kuna ombwe kubwa sana la ulinzi hususani wa dola la Tanzania,maana kwa mianya hii ya rushwa za wazi,watuwasiopenda utulivi wa taifa letu ni laisi sana kupitisha silaha zao
Mungu ibaliki Tanzania
 
Kuuza bangi kwa bendera ya JMT siyo yactics ni cowardness. Hakuna mahali duniani taifa linaweza kujivunia uhalifu wa namna hiyo.

Sishangai maneno yako kwasababu ikiwa waziri wa miundo mbinu wa znz haelewi tatizo lilivyo katika taswira ya dunia na haelewi kuwa si siri , sitegemei wewe unaweza kuelewa chochote.

Lakini akili gani tutatia ikiwa waziri wa miundo mbinu Mwakyembe ana authority kubwa kuliko SMZ yote?
Hivi hapo nani ana akili. Huoni dhalili hiyo ndugu yangu.

Tunataka nchi yetu na mamlaka yetu wa tanganyika tuwe kama majirani tu katiba yetu na nyinyi mje znz na passport na muombe visa
 
Huwa ninajiuliza sana lakini sipati majibu hivi kati ya Tanganyika na Zanzibar ni nani huwa anang'ang'ania huu muungano.
Ritz ni wao. Kwa miaka mingi wamelalamika sana nafasi imetolewa hawataki kuitumia.
1. Wabunge wao wapo Dodoma, wale wa kuchaguliwa na wananchi na wale wa BLW
2. Wajumbe wao wa tume wapo katika tume ya Warioba hakuna aliyejitoa au kupendekeza muungano uvunjwe
3. BAKAZA imesema inataka bunge la katiba liwe na uataratibu tofauti, hawakusema hawataki muungano
4. Kamati ya maridhiano imesema inataka Pasport za Tanzania-Tanaganayika na Tanzania-Zanzi hawajasema hawataki muungano
5. Mansour, Jusa, Moyo, Karume, Seif wote wanataka muungano lakini wa mkataba hawajasema wanataka kuondoka
6. Wzn walioko bara hawajasema wanaacha afasi zao za uongozi ndani ya JMT ili kurudi kwao, wapo
7. Hakuna mzn katika mabaraza ya awali na ya kata aliyeahi kusimama na kusema hataki muungano.
8. Makamu wa rais ni mznz kwa uzanzibar na si kwa sifa, hawajamrudisha ili kupinga ushiriki ndani ya muungano
9. Wanatumia mafao kama ya ada za IMO kwa kazi zao za mizigo ya mihadarati, hawajalipa kwa mapato yao
10.Wanataka mkataba wa muungano hawakatai kuwa hataki muungano
11. Wanataka ulinzi na usalama, sijui kuna ulinzi wa kuomba kwa jirani bila muungano.
12. Wana wawakilishi katika kila chombo cha muungano ikiwemo NECTA wasioitaka wala kuitambua, hawalalamiki

n.k n.k
 
Last edited by a moderator:
Tunataka nchi yetu na mamlaka yetu wa tanganyika tuwe kama majirani tu katiba yetu na nyinyi mje znz na passport na muombe visa
Ulinzi na usalama pia. Mkatae muungano wa mkataba au serikali 3. Mkishindwa hayo mtakuwa chini ya JMT mtakae msitake.
 
Back
Top Bottom