Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,644
Mambo kama haya hata sipendi kuonesha maono yangu juu ya haya.
weweupo na akili lakini?kwani jmt ninini.. ni umoja wa kwetu sote ------- wa mawazo wewe.. eti tuliwaachia... chombo hicho unachojifany akukikaliani cha kwetu pamoja akili ndogo wewe.. anzisha nyikayako kwanza
Kama ni umoja wetu sote bendera ya znz waliyokuwa wanadai ni ya nini? Kwanini walijiondoa JMT kuhusu usafiri wa majini mwaka 2003 na kuanzisha ZMA mwaka 2006?weweupo na akili lakini?kwani jmt ninini.. ni umoja wa kwetu sote ------- wa mawazo wewe.. eti tuliwaachia... chombo hicho unachojifany akukikaliani cha kwetu pamoja akili ndogo wewe.. anzisha nyikayako kwanza
Umesahau kuhusu nafasi za upendeleo elimu ya juu. Sasa ziwe katika ushindani na si kumyima Mtanganyika nafasi ili ichukuliwa na mznz kwasababu ya uzanazibar na siyo academic meritsKwa haya yote na sisi Watanganyika tuna sehemu ya lawama, nayo ni moja tu.......Tumewalea sana.
Na kawaida mtu ukimlea sana anabweteka, na ndiyo haya yanayochagiza 'Muungano wa Mkataba'.
Maadam tulikosa fursa ya kupiga kura ya maoni juu ya kuwepo ama kutokuwepo Muungano, nafikiri sasa tuanze
kufikiria tuwe na transition period tunapoelekea kwenye Serikali tatu.
1. Mawaziri na viongozi wanaoshughulika na mambo yasiyokuwemo kwenye Muungano waache kushiriki ama kutoa fedha
kuisaidia ama ku-support masuala yasiyokuwa ya Muungano (la usajili wa Meli mojawapo).
2. Nafasi za kazi zisizokuwa za Muungano na ambazo zimeshikwa na Wazanzibar ziondolewe ama kupewa Watanganyika.
3. Tuanze kufikiria Wazanzibar wanaoishi Tanganyika wapewe vitambulisho maalum (angalau vinavyofanana na working
permit kwa raia wa kigeni).
4. Vyama vya kisiasa vianze kufikiria miundo yao ya uongozi kulingana na mfumo mpya wa Serikali tatu.
Budget support kwa Serikali ya Zanzibar lazima ipitishwe na Bunge na iwe soft loan na sio sadaka.
Kwa sasa ni hayo.
Mamlaka kamili vipi? Mkitumia neno Tanzania msahau mamlaka kamili.Wewe unataka nini hela ni ya waznz na wataendelea kutumia jina la tz mpaka mtakapo waachia nchi yao munaogopa mendeleo ya znz kwanini na tanganyika yenu wezi watupu
Tena wanapeperusha bndera juu ya tani 30 za bangi. Hakuna tusi zaidi ya hilo.ndio maana nawashangaa wale wabunge wanaopinga kuwa zanzibar haikushirikishwa mchakato wa muungano kwani wazanzibar hawapokwa ajili ya muungano ndiomaana wanafanya kila njia tanzania ichafuke haiwezekani wapeperushe bendera ya tanzania kwani wao wana bendera yao kwanini wachukue bendera ya tanzania walitumia iran kukwepa vikwazo vyao kama umoja wa mataifa ungechukua hatua ya kuchukua vikwazo ambao wangeathirika ni watanganyika kwa kiasi kikubwa wangeathirika wao wazanzibar wangekimbilia Oman hakuna haja ya kuwashirikisha
Mbona wanataka muungano wa mkataba? Kwanini wasiende zao!Waletaka nchi yao siku nyingi tu nyinyi bado mnaikumbatia sasa ndio mtatia akili wale hawana nguvu za kivita kama nyinyi sima watatumia akili ya hali ya juu mpaka mtawapa nchi yao na wale vibaraka wenu wale cufccm wanajua hilo
Mambo yao ya zanzibar waachieni wenyewe nyinyi hayakuhusuni mbona mnawabana kwenye mambo mengi sana
Siyo kwamba hawajui utaratibu ni mazoea ya kutumia jina tu kujisetiri ambako sasa lazima kufike mwisho. Na mwisho wa hayo ni Tanganyika irejeeHapo ndo unapokuja umhimu wa zanziba kushirikishwa katika huu mchakato wa katiba ilia baadae isije vikatokea visingizio vya kwamba sisi hatukushirikishwa maara sisi koloni la Tananyika kwa mfano zanzibari wana wizara zinazoshughulikia mambo ambayo siyo ya muungano Tanganyika ziko wapi hizo wizara?
Zanzibari kuna baraza la wawakilishi linalojadli mambo ya zanzibari ambayo siyo ya muungano liko wapi bunge la Tanganyika ale Dodoma tunapojadili mambo yasiyo ya muungano kwa nini wale wabunge wanaotokea Zanzibari huwa hawtoki nje? kwa nini washiriki mambo ya Tanganyika wakati sisi hatuna mwakilishi hata mmoja katika baraza la wawakilishi?
Hili la bangi EU tayari wameshaweka alama kwa Tanzania. Meli inayotoka Tanzania ina walakini, kama si mzigo wa mihadarati ni mbovu.ndio maana nawashangaa wale wabunge wanaopinga kuwa zanzibar haikushirikishwa mchakato wa muungano kwani wazanzibar hawapokwa ajili ya muungano ndiomaana wanafanya kila njia tanzania ichafuke haiwezekani wapeperushe bendera ya tanzania kwani wao wana bendera yao kwanini wachukue bendera ya tanzania walitumia iran kukwepa vikwazo vyao kama umoja wa mataifa ungechukua hatua ya kuchukua vikwazo ambao wangeathirika ni watanganyika kwa kiasi kikubwa wangeathirika wao wazanzibar wangekimbilia Oman hakuna haja ya kuwashirikisha
Tatizo lake ni kwanini habariimeandikwa magazetini wala si zigo la bangi la tani 30 zilizokamatwa.Ukweli ni kwamba zanzibar iko kimaslahi kwenye huu muungano. Na ukweli ni kwamba yale yanayoiumiza bara wao huwa hawayapi kipaumbele la wanaona sawa tu.
Waziri wao katuonyesha wazi kwamba hata uelewa juu mahusiano yetu ya majini hayajui na hivyo hajali kwake yeye liwalo na liwe.
Hapana ni wao wanao ng'ang'ania. Sisi tumewapa kila 'maujanja' wao wamekomaa na mamlaka kamili(siyo kujitoa) huku wakisema ulinzi na usalama ni juu ya Mtanganyika.Jamani kwani si muaachie wazanzibari nchi yao na kisiwa chao. Mnachong'ang'ania muungano ni kitu gani?
MMM, wao tatizo si tindikali hasa maana wanajua mwisho wa siku jina la JMT ltajitokeza tu. Tatizo lao ni kujificha katika malipo.Ndugu yangu Nguruvi, Zanzibar ni ya Wazanzibari na Tanzania ni ya Watanzania wote; Wazanzibari wanataka kuwa na mamlaka kamili kwa kadiri ya kwamba mamlaka hayo kamili yamejificha ndani ya Muungano. Jambo la kwanza ambalo Wazanzibari walitakiwa kufanya ni kujiunga na chombo cha vyombo vya majini cha kimataifa ili waweke bendera yao halafu waanze kurusha bendera yao.
Ndio maana wengine tulipata ahueni kidogo baada ya tukio la watu kumwagiwa Tindikali vyombo vyote vya kimataifa vilisema hilo limetokea "Zanzibar"! ...