Mbona sasa unatudanganya? Raisi Samia anaongea kiingereza kilichonyooka,labda wewe ndo Huwa unaongea broken.Jamaa alishakuja hapa na story ya kwenda kumtembelea jamaa yake chuo kikuu akakuta watu wanaangalia porno akaponda eti badala ya kusoma wanaangalia mambo yetu.
Sasa na hii ya huyu ticha kisa amemaliza chuo kikuu kakosea ngeli jamaa anachonga.
Ninahisi jamaa kinamuuma sana kushindwa kwenda chuo kikuu ndo maana kila mara anakuwa anawatafutia kasoro watu qa chuo kikuu.
Hii lugha sio yetu, ukimsikiliza rais wa nchi mwenyewe gramar zinanchomoa pamoja na kuwa amesoma, amekaa wizara ya mambo ya nje, ulaya na US anaenda kama vile mimi navyoenda Ubungo Posta na ni Rais lakini bado ngeli ni shida.
DahLeo nimetembelea shule moja ya Kata nikashuhudia kituko cha mwaka kutoka kwa mwalimu mmoja shuleni hapo.
Mwalimu huyo amehitimu Chuo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) hivi karibuni na akaajiriwa moja kwa moja kufundisha katika shule hiyo ya Kata.
Wakati akiendelea kufundisha nilimsikia akiwauliza wanafunzi swali hili: WHERE DOES IT LOCATED?
Inaonekana ni mwalimu wa somo la Jiographia, hivyo alikuwa akiwauliza wanafunzi wake wamtajie location ya kitu fulani kwenye ramani.
Jamani, hapa ndipo shule za kata zilipotufikisha. Ikiwa mhitimu wa Chuo Kikuu anaongea kiingereza kibovu kama hiki, tena mbele ya wanafunzi,mnategemea wanafunzi anaowafundisha watapata maarifa gani kutoka kwake?
Chukulia huyu ni mwalimu wa Kidato Cha Kwanza, wanafunzi wake wanaoambiwa kila siku "SPEAK ENGLISH" wataiga kiingereza gani kutoka kwake? Si ndio atawapoteza kabisa?
Ikiwa walimu hawajui kiingereza unategemea nini kutoka kwa wanafunzi wao? Haya ndio madhara ya serikali yetu kuchanganya elimu na siasa. Tumekwisha hasa!!
Kwani nI mwalimu wa english huyo?? Acha ujinga bwana..kuna professors kibao wa kihindi wanafundisha vyuo vikoo vikubwa duniani na wanazungumza english mbovu kuliko. English ni lugha kama kilivyo kichaga au kisukuma tu acha ushamba.CCM na hizi shule zake za kata zisizo na walimu weledi ndio wametufikisha hapa.
Correct✔️✅✔️✅✔️✅✍️Suppose to be "where is it located" but who cares mzee english sio lugha yetu ebu tuwe wazalendo kwenye hili, ujuzi wa mtu hauusiani na kuwa grammatical vizuri. Mfano english inayozungumzwa USA ilileta utata mwingi mpaka wakatengenezewa dictionaries zao na hawafuati British english sasa wewe endelea kuwa mtumwa kenge maji wewe..
Kwa kuwa sio mwalimu wa English anaruhusiwa kuongea broken kuwapotosha wanafunzi? Acha ujinga mkuu.Kwani nI mwalimu wa english huyo?? Acha ujinga bwana..kuna professors kibao wa kihindi wanafundisha vyuo vikoo vikubwa duniani na wanazungumza english mbovu kuliko. English ni lugha kama kilivyo kichaga au kisukuma tu acha ushamba.
Je hakutumia lugha ya vitendo?? Je wanafunzi hawakuelewa??hayo nayo tungetamani kuyajuaKwa kuwa sio mwalimu wa English anaruhusiwa kuongea broken anawapotosha wanafunzi? Acha ujinga mkuu.
Hebu fikiria hata paper ya kitaifa (2016)inakosewa kijinga namna hii unategemea nini? Halafu kuna vilaza humu wanawatetea vilaza wenzao. Hii nchi ya kipuuzi sana.Mimi SUA pia nilisikia Kingereza cha ajabu namna hiyo.Inaelekea ndio hali halisi ya vyuo vyetu kwa sasa.Very pathetic indeed.
Kuna lecturer mmoja kutoka UDOM alinishangaza sana pale niliposoma questionnaire aliyoiandaa kwa wanafunzi wake. Inasikitisha sana.Mimi SUA pia nilisikia Kingereza cha ajabu namna hiyo.Inaelekea ndio hali halisi ya vyuo vyetu kwa sasa.Very pathetic indeed.
Aliwapotosha wanafunzi kwa makusudi au kwa kutokujua. Usitetee uzembe mkuu. Kwanini asiingie darasani na dictionary kama kingereza kinampiga chenga? Au kwanini asiende kusoma English Course kwa Ras Simba?Je hakutumia lugha ya vitendo?? Je wanafunzi hawakuelewa??hayo nayo tungetamani kuyajua