Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

Hapo hilo pepa limepitiwa na mtu ambaye amelipwa per diem...,kuna muda watoto wanafeli,kwasababu lugha zisizo sahihi zinawachanganya.Kulikua haina haja ya kutumia DOES,uache kutumia VERB TO BE,ambayo ni IS
 
Issue ndogo kama hiyo a grammatical error unaifungilia uzi....watanzania kwel wengi hawana kaz ya kufanya..
 
Mtoa uzi Ana shida.... Kukosa mbn ni jambo la kawaida.... Hata kiswahikibwatuvtunachapia.. Nn cha ajabu hapo? Au hiyo chuo kikuu? Ulikosa kwenda udsm wew ndo maana inakutesa
 
Hapo ulipaswa kuandika "kidato cha kwanza". Hyo maneno hayana sifa za kuandikwa kwa kuanza na herufi kubwa kama hayajaandikwa mwanzo wa sentensi.
Kasome shule kwanza uje kubishana nami. Mimi nimenadika maneo yaliyotamkwa sijamkosoa kwenye maandishi usitafute ligi. Kidato Cha Kwanza ni kikundii nomino (group noun); lazima uandike kwa herufi kubwa.
 
Leo nimetembelea shule moja ya Kata nikashuhudia kituko cha mwaka kutoka kwa mwalimu mmoja shuleni hapo.

Mwalimu huyo amehitimu Chuo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) hivi karibuni na akaajiriwa moja kwa moja kufundisha katika shule hiyo ya Kata.

Wakati akiendelea kufundisha nilimsikia akiwauliza wanafunzi swali hili: WHERE DOES IT LOCATED?

Inaonekana ni mwalimu wa somo la Jiographia, hivyo alikuwa akiwauliza wanafunzi wake wamtajie location ya kitu fulani kwenye ramani.

Jamani, hapa ndipo shule za kata zilipotufikisha. Ikiwa mhitimu wa Chuo Kikuu anaongea kiingereza kibovu kama hiki, tena mbele ya wanafunzi,mnategemea wanafunzi anaowafundisha watapata maarifa gani kutoka kwake?

Chukulia huyu ni mwalimu wa Kidato Cha Kwanza, wanafunzi wake wanaoambiwa kila siku "SPEAK ENGLISH" wataiga kiingereza gani kutoka kwake? Si ndio atawapoteza kabisa?

Ikiwa walimu hawajui kiingereza unategemea nini kutoka kwa wanafunzi wao? Haya ndio madhara ya serikali yetu kuchanganya elimu na siasa. Tumekwisha hasa!!
Hiyo lugha hajazaliwa nayo

Madikteta waliopita hawakujua kiingereza na ndio waliabudiwa.
 
Kasome shule kwanza uje kubishana nami. Mimi nimenadika maneo yaliyotamkwa sijamkosoa kwenye maandishi usitafute ligi. Kidato Cha Kwanza ni kikundii nomino (group noun); lazima uandike kwa herufi kubwa.
Sio kweli, rudi shule
 
Wachina na wajerumani wenye maendeleo makubwa wanajua Kiingereza ?, pili ushasema ni mwl. wa Geography si kosa lake

Tatu ww kwa siku Kiswahili lugha yako unachapia mara ngapi ?

Nne ; watoto wenu mlokuwa mnawepeleka Kusoma Uganda na Kenya miaka michache ilopita mbona hamuwapeleki baada ya kuona watoto wanaendelea kuwa vilaza Tano Rekebisha ulitaka Mwl. aseme vp.
Wachina wasio jua kiingereza wako competent kwwnte careers zao. Wachina wanao jifunza kiingereza basi wanaongea fluently.. wanao jifunza kifaransa fluently even kiswahili wakijifunza wanaongea kama wamatumbi. Elimu ya bongo mangu mangu tuu
 
Hii unayotaka tujadili hapa ni mada mpya. Utawapotosha wachangiaji.
Sio mpya mkuu.
Maana yangu ni kuwa, kukosea katika kuandika au kuongea ni kitu cha kawaida.

Mfano, huyo mwalimu alikosea katika maongezi yake wakati anafundisha, sawa na wewe ulivyokosea kwenye uandishi wa maneno, pamoja na kwamba una muda wa kuhariri.

Ndivyo ilivyo.
 
Back
Top Bottom