Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

Hata uwe master wa kingereza vipi, kwa TANZANIA HUNA pA KUKIONGEA hatomae utakisahau .
American english yenyewe ni broken flan baada ya kushindwa kutamja sawa na wazungu wakachepusha maneno.
Nigeria ile ni broken tu.
Jamaican english ni broken flan.
Walimu wengi hawawezi kumaster kingereza kwa sababu muda wa kukiongea ni mdogo kwa vyovyote utachapia tu.
Juzi kati nimerekodi vipindi kwa ajili ya my kid.
Niliposikiliza nikagundua kuna plural and singular nimepiga boko.

Kuna mda hupati specific word la kuunga kupata proficency! Unawaza maneno badala ya ku flow maneno just because una connect longterm na short term memory.
Huyo mwalimu ni sawa kabisa kukosea ila anatakiwa arekodi vipindi vyake baadae aangalie madhaifu yake.
Mtoa mada vahati mbaya sana makazini watu hawajifanyii evaluation ili kuwa imara.
Watu wengi wakiisha maliza chuo ndio imetoka. Kuna mwalimu zaifi ya miaka 20 hahawahi soma kitabu chochote zaidi ya kile chs darasani. Yaani anannakilusga tu ukurasa basi.
Ukitaka efficiency ya angalau 60% tu huipati.
We are very primitive na hio ni kila sekta labda hospitali, jeshini, kidogo.
Wengine hakuna wa kumcheka mwenzake.
Hata wewe mtoa mada tungejua sekta yako ni wale wale tu kasoro majina.
Unavyomshangaa mwalimu ndivyo wazungu,wachina,warabu wanavyotushangaa waaafrika. Nawe umo kwenye kundi la kushangawa.
 
Leo nimetembelea shule moja ya Kata nikashuhudia kituko cha mwaka kutoka kwa mwalimu mmoja shuleni hapo.

Mwalimu huyo amehitimu Chuo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) hivi karibuni na akaajiriwa moja kwa moja kufundisha katika shule hiyo ya Kata.

Wakati akiendelea kufundisha nilimsikia akiwauliza wanafunzi swali hili: WHERE DOES IT LOCATED?

Inaonekana ni mwalimu wa somo la Jiographia, hivyo alikuwa akiwauliza wanafunzi wake wamtajie location ya kitu fulani kwenye ramani.

Jamani, hapa ndipo shule za kata zilipotufikisha. Ikiwa mhitimu wa Chuo Kikuu anaongea kiingereza kibovu kama hiki, tena mbele ya wanafunzi,mnategemea wanafunzi anaowafundisha watapata maarifa gani kutoka kwake?

Chukulia huyu ni mwalimu wa Kidato Cha Kwanza, wanafunzi wake wanaoambiwa kila siku "SPEAK ENGLISH" wataiga kiingereza gani kutoka kwake? Si ndio atawapoteza kabisa?

Ikiwa walimu hawajui kiingereza unategemea nini kutoka kwa wanafunzi wao? Haya ndio madhara ya serikali yetu kuchanganya elimu na siasa. Tumekwisha hasa!!
Mkuu,usimlaumu huyo Mwalimu,Mbona kuna Ma Profesa hawawezi kuongea kiingereza kwa muda mrefu wakiwa wanafundisha au wanaongea broken lkn wanatema material mazuri tu.Kwa hiyo km sio Mwalimu wa English sioni Tatizo labda km angekuwa ni Mwalimu wa Kiingereza hapo sawa.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huyu ni mwalimu wa Geography na A-level amesoma HGL. Hana kisingizio chochote zaidi ya uzembe wake binafsi. Kama anajiona hamudu kingereza kwanini asiende akasome English Course kwa Ras Simba badala ya kuwapotosha wanafunzi?
 
Leo nimetembelea shule moja ya Kata nikashuhudia kituko cha mwaka kutoka kwa mwalimu mmoja shuleni hapo.

Mwalimu huyo amehitimu Chuo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) hivi karibuni na akaajiriwa moja kwa moja kufundisha katika shule hiyo ya Kata.

Wakati akiendelea kufundisha nilimsikia akiwauliza wanafunzi swali hili: WHERE DOES IT LOCATED?

Inaonekana ni mwalimu wa somo la Jiographia, hivyo alikuwa akiwauliza wanafunzi wake wamtajie location ya kitu fulani kwenye ramani.

Jamani, hapa ndipo shule za kata zilipotufikisha. Ikiwa mhitimu wa Chuo Kikuu anaongea kiingereza kibovu kama hiki, tena mbele ya wanafunzi,mnategemea wanafunzi anaowafundisha watapata maarifa gani kutoka kwake?

Chukulia huyu ni mwalimu wa Kidato Cha Kwanza, wanafunzi wake wanaoambiwa kila siku "SPEAK ENGLISH" wataiga kiingereza gani kutoka kwake? Si ndio atawapoteza kabisa?

Ikiwa walimu hawajui kiingereza unategemea nini kutoka kwa wanafunzi wao? Haya ndio madhara ya serikali yetu kuchanganya elimu na siasa. Tumekwisha hasa!!
kiingereza kwa watanzania walio wengi hata waliosoma vyuo vikuu, na sio waalimu tu hata sector zingine, ni shida. wala sio wa kumcheka huyo mwalimu.
 
Alikuambia kasoma HGL? Geography inasomwa na wengi mfano PGM, CBG etc. Uwe muwazi
Namfahamu mkuu. Kwa hiyo mtu asiposoma English A level anaruhusiwa kuongea broken English na kuwapotosha wanafunzi?
 
Mimi nadhani kabla hujaanza mshambulia , ilibidi utuletee hii story yako yotee kwa kingereza hapo ningesema kweli ulishangazwa na alivyokosea lakini nje na hapo unaonekana ni mtu wa majungu tu . Yani umeshindwa kumshangaa msukuma au maasai kushindwa kuongea kiswahili vizuri licha ya kuwa wamezaliwa hapa hapa Tanzania ila unamshangaa mtu kukosea lugha ambayo asilimia 98 ya waliyomzunguka hawaitumiii kabisa na wala hawailewi .

Kingine lazima uelewe kuwa kiingereza kwetu ni lugha ya pili au ya tatu kwa tulio wengi hivyo kutokukiongea vzr ni jambo la kawaida kabisaa . Na wala hatupo pekee yetu tuyafanyao hayo makosa wahindi wachina hata wakorea wamekuwa wakikikosea mara kwa mara lakini wenye lugha yao wao wamekuwa wanyenyekevu na wenyekutuvulia na kutusaidia kila ilipobidi na siyo kama ulivyofanya wewe kumsengenya niseme tu unakosea sanaaa ndugu yangu ..
 
Binafsi nawashukuru sana Mkapa, Kikwete na Lowassa kwa kutuletea hizi shule.

Watanzania wenzangu wanaondoa ujinga kiasi kwa kukamilisha ratiba ya kufika kidato cha nne. Hali ingekuwa mbaya sana maana wengi wasingepata nafasi ya kufika hata vyuo vya kati.
 
Leo nimetembelea shule moja ya Kata nikashuhudia kituko cha mwaka kutoka kwa mwalimu mmoja shuleni hapo.

Mwalimu huyo amehitimu Chuo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) hivi karibuni na akaajiriwa moja kwa moja kufundisha katika shule hiyo ya Kata.

Wakati akiendelea kufundisha nilimsikia akiwauliza wanafunzi swali hili: WHERE DOES IT LOCATED?

Inaonekana ni mwalimu wa somo la Jiographia, hivyo alikuwa akiwauliza wanafunzi wake wamtajie location ya kitu fulani kwenye ramani.

Jamani, hapa ndipo shule za kata zilipotufikisha. Ikiwa mhitimu wa Chuo Kikuu anaongea kiingereza kibovu kama hiki, tena mbele ya wanafunzi,mnategemea wanafunzi anaowafundisha watapata maarifa gani kutoka kwake?

Chukulia huyu ni mwalimu wa Kidato Cha Kwanza, wanafunzi wake wanaoambiwa kila siku "SPEAK ENGLISH" wataiga kiingereza gani kutoka kwake? Si ndio atawapoteza kabisa?

Ikiwa walimu hawajui kiingereza unategemea nini kutoka kwa wanafunzi wao? Haya ndio madhara ya serikali yetu kuchanganya elimu na siasa. Tumekwisha hasa!!
Wewe unazungumzia sekondari za kata? Mbona humshangai yule Propesa chako ni chako aliyekuwa waziri wetu wa elimu, propesa wa chuo kikuu cha jalalani na waziri sijui wa wizara gani sasa hivi?
 
Leo nimetembelea shule moja ya Kata nikashuhudia kituko cha mwaka kutoka kwa mwalimu mmoja shuleni hapo.

Mwalimu huyo amehitimu Chuo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) hivi karibuni na akaajiriwa moja kwa moja kufundisha katika shule hiyo ya Kata.

Wakati akiendelea kufundisha nilimsikia akiwauliza wanafunzi swali hili: WHERE DOES IT LOCATED?

Inaonekana ni mwalimu wa somo la Jiographia, hivyo alikuwa akiwauliza wanafunzi wake wamtajie location ya kitu fulani kwenye ramani.

Jamani, hapa ndipo shule za kata zilipotufikisha. Ikiwa mhitimu wa Chuo Kikuu anaongea kiingereza kibovu kama hiki, tena mbele ya wanafunzi,mnategemea wanafunzi anaowafundisha watapata maarifa gani kutoka kwake?

Chukulia huyu ni mwalimu wa Kidato Cha Kwanza, wanafunzi wake wanaoambiwa kila siku "SPEAK ENGLISH" wataiga kiingereza gani kutoka kwake? Si ndio atawapoteza kabisa?

Ikiwa walimu hawajui kiingereza unategemea nini kutoka kwa wanafunzi wao? Haya ndio madhara ya serikali yetu kuchanganya elimu na siasa. Tumekwisha hasa!!
Yawezekana wewe ndo haujui kingereza
 
Back
Top Bottom