Sikati Tamaa, naenda tena ukweni kumuomba mama mkwe aniombee msamaha kwa mpenzi wangu

Mr Beach Boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
1,702
Reaction score
5,115
Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa..

Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka.

Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja...

Naomba ushauri niende au nikaushe
 
Dont force it
 
Tunaelekea unampenda sana,usikaushe utajiumiza moyo,fanya jitihada asivunje agano!
 
Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa..

Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka.

Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja...

Naomba ushauri niende au nikaushe
Unakoelekea utajiua au kufanya mauaji na kuishia jela mbwa wewe
 
Kusikia kwa kenge ni mpaka atoke damu, usi sahau mrejesho maana una force kuingia kinyume nyume ndani ya ghetto la wahuni.
FB_IMG_17476008270515016.jpg
 
Back
Top Bottom