Winner Magele
Member
- Jan 9, 2013
- 86
- 49
Hahahah,nafikir ndio msaada anao hitajiunaongea point. Lakn kwan akimpata mtu wa kumsaidia kumvua kuna ubaya gani?

hahaaa! Jf kwa drama hawajambo. Huyu bint ameamua kukalisha kikojoleo chake na kuaongea uongo? Shenzy kabisaAiseee,jana tu umekuja kutafuta mpnz ktka hili jukwaa na ulisema umri wako ni miaka 26.saiv unatuambia una 22.
rubylove said: ↑
mm ni Binti wa miaka 26.Nina mchumba tuliwekeana ahadi tutaoana. ila naona mda unaeenda na yy ukimuuliza hajajipanga kimaisha nimechoma kumsubiri. natafuta mume wa kunioa..angalau awe na Miaka 27-37.sijaweka number kwa sababu maalumu. ukihitaji NM tutawasiliana.naishi dar
https://www.jamiiforums.com/threads/nimechoka-kumsubiri-nahitaji-kuolewa.992711/
..Poa serengetigirl umeamua kuja kunianika huku,poa tu...ila naomba upokee zawadi basi.Achana na ushauri wa MMU.asante sana my dada my dada nimeona mbali
...hebu funguka kidogo kijana wa Shauri(mby sec)..sijakupata hapoduuh,watu kama nyie nawapenda kuna mmoja nilimwacha kwenye mataa teh teh teh!
Basi asile vya watu...akojolewe
Afadhali,mwenyewe nimeuona huu uzi...Aiseee,jana tu umekuja kutafuta mpnz ktka hili jukwaa na ulisema umri wako ni miaka 26.saiv unatuambia una 22.
rubylove said: ↑
mm ni Binti wa miaka 26.Nina mchumba tuliwekeana ahadi tutaoana. ila naona mda unaeenda na yy ukimuuliza hajajipanga kimaisha nimechoma kumsubiri. natafuta mume wa kunioa..angalau awe na Miaka 27-37.sijaweka number kwa sababu maalumu. ukihitaji NM tutawasiliana.naishi dar
https://www.jamiiforums.com/threads/nimechoka-kumsubiri-nahitaji-kuolewa.992711/
Muulize huyo huyo anaekuhonga kama atakudai
Bora ume mwambia ukweli mwaya......ukila tu jua utaliwa binti.... sasa kama hutaki kuliwa acha kupokea zawadi.. zawadi nyingine utazifuata na once umezifuata utavuliwa chupi tu
Duuu...kuna wadau wana reference kinoma.Kwani hii story ni ya lini mbona mnanichanganya?
Nachojua demu alipokea, na kashagongwa si chini ya mara 7 na nusu (hii nusu ni romance ambayo vidude havijakutanishwa).
Au alete mrejesho kama unabisha
Hii tabia ya kuwafanya watu mapopoma sijui itaisha lini,jitu linaposti uzi linasema hivi kesho linaposti kitu kingine linadhani watu hawasomi,jitu kingine lina copy na kupaste uzi wa mtu mwingine linajifanya limeanzisha lenyewe,yanakera sana aisee.Aiseee,jana tu umekuja kutafuta mpnz ktka hili jukwaa na ulisema umri wako ni miaka 26.saiv unatuambia una 22.
rubylove said: ↑
mm ni Binti wa miaka 26.Nina mchumba tuliwekeana ahadi tutaoana. ila naona mda unaeenda na yy ukimuuliza hajajipanga kimaisha nimechoma kumsubiri. natafuta mume wa kunioa..angalau awe na Miaka 27-37.sijaweka number kwa sababu maalumu. ukihitaji NM tutawasiliana.naishi dar
https://www.jamiiforums.com/threads/nimechoka-kumsubiri-nahitaji-kuolewa.992711/
mkuu umenena kweli iliyo tupu kabisa.wanawake dawa yao ni pesa yaan ukijionesha una hela hata hakupendi lazima atakufikiria tu......!!!!:focus:
akojolewe
Hii ni ya June 2015 huyu jamaa ndo kaianzisha tena (Bonyeza)Aiseee,jana tu umekuja kutafuta mpnz ktka hili jukwaa na ulisema umri wako ni miaka 26.saiv unatuambia una 22.
rubylove said: ↑
mm ni Binti wa miaka 26.Nina mchumba tuliwekeana ahadi tutaoana. ila naona mda unaeenda na yy ukimuuliza hajajipanga kimaisha nimechoma kumsubiri. natafuta mume wa kunioa..angalau awe na Miaka 27-37.sijaweka number kwa sababu maalumu. ukihitaji NM tutawasiliana.naishi dar
https://www.jamiiforums.com/threads/nimechoka-kumsubiri-nahitaji-kuolewa.992711/
asante heri ya mwaka mpyaHeri ya XMass dogo!
haya ...............Bora ume mwambia ukweli mwaya......
poa poahaya ...............