MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,071
Bear in mind, UKIMWI upo! Huwezi jua anang'ang'ania kukupa zawadi gani, manake hata virusi navyo ni zawadi...
Uwiiii umenitisha mimi nimeahidiwa zawadi seem afu unasema ukimwi mweee mtani
Bear in mind, UKIMWI upo! Huwezi jua anang'ang'ania kukupa zawadi gani, manake hata virusi navyo ni zawadi...
Uwiiii umenitisha mimi nimeahidiwa zawadi seem afu unasema ukimwi mweee mtani
Kama anajipendekeza wewe mkaushie. Usipende sana waume za watu. Jua fika waume za watu ni sumu so kuwa makini.
Ukimchuna ujue na wewe kuna siku utatolewa ngozi kabisa.
FIKIRIA THEN CHUKUA HATUA.
Usimlie pesa zake...endelea kuwa na msimamo tu...kama yupo kwenye ndoa usimkubali please.
mmmm waume za watu wameanza lini kuwa sumu? Jamani mme wa mtu si maziwa? Eti mme wa mtu kwana anaempenda si mtu? Au mnyama???
huwezi kula cha mtu afu ukabaki salama...lazima nawe utaliwa tuu.kama unabisha jaribu uone
Habari,
Mimi ni msichana 22 years. Kazini kwangu kuna likaka linajipendekeza kwangu sana. Sijui hata number yangu alimpa nani. Ohoo nakupenda, nikamwambia si una mke wewe, akasema hana wakati ni mtu mzima.
Nikamwambia nina mchumba, sasa kila kitu nikuletee, mimi nakataa. Nimchune au nitadaiwa?
Simpendi, na kum-block nimem-block ila SMS huwa zinafika ila hakomi.
Lazima na Mimi nitakukula tuMlie na usimpe tuna......hao wasio heshimu ndoa zao usiwaonee huruma.
ukila tu jua utaliwa binti.... sasa kama hutaki kuliwa acha kupokea zawadi.. zawadi nyingine utazifuata na once umezifuata utavuliwa chupi tu
avuliwe kwa kupenda ila si ale ahalafu aliwe ha haha inauma .. kuna walaji wengine wanakula kwa kukomoa yani utajutaunaongea point. Lakn kwan akimpata mtu wa kumsaidia kumvua kuna ubaya gani?
hahahaaaa! Mkuu inaonesha umewahi kukumbana na sekeseke hilo.avuliwe kwa kupenda ila si ale ahalafu aliwe ha haha inauma .. kuna walaji wengine wanakula kwa kukomoa yani utajuta
mimi hapo sikujibu weni mfukunyukuhahahaaaa! Mkuu inaonesha umewahi kukumbana na sekeseke hilo.
Inshue Rahisi Kma Una Maanisha Usimjibu Kwa Chochote, Mean Hata Akiuliza Nikuletee? Wee Nyamaza!! Pia Utamwambiaje Si Umeoa Wakat Aumpend? Angekua Ajao Ungemkubal? Mwmbie Ukwel Aumpend Then Mpotezeee Kma Unamaanisha.Habari,
Mimi ni msichana 22 years. Kazini kwangu kuna likaka linajipendekeza kwangu sana. Sijui hata number yangu alimpa nani. Ohoo nakupenda, nikamwambia si una mke wewe, akasema hana wakati ni mtu mzima.
Nikamwambia nina mchumba, sasa kila kitu nikuletee, mimi nakataa. Nimchune au nitadaiwa?
Simpendi, na kum-block nimem-block ila SMS huwa zinafika ila hakomi.
Atavuliwa chupi akojoe au akojolewe....ukila tu jua utaliwa binti.... sasa kama hutaki kuliwa acha kupokea zawadi.. zawadi nyingine utazifuata na once umezifuata utavuliwa chupi tu
akojoleweAtavuliwa chupi akojoe au akojolewe....