Hahahhahaha poin uukm mukujam anabanay onmOlleh, ssim uoy a tol!
Uukukis ejadneaniz?
Suseme tu kuwa ndio tabia yako ya kuchunaHabari,
Mimi ni msichana 22 years. Kazini kwangu kuna likaka linajipendekeza kwangu sana. Sijui hata number yangu alimpa nani. Ohoo nakupenda, nikamwambia si una mke wewe, akasema hana wakati ni mtu mzima.
Nikamwambia nina mchumba, sasa kila kitu nikuletee, mimi nakataa. Nimchune au nitadaiwa?
Simpendi, na kum-block nimem-block ila SMS huwa zinafika ila hakomi.
Mwambie.....asije akalipa kwa njia asizozijua aisee....There is no free lunch my dear, Take care!!!!
Usikute kishagongwa anakuja kujisemesha hapa...Mlie na usimpe tuna......hao wasio heshimu ndoa zao usiwaonee huruma.
naomba na mimi nijitolee kwako jamani...Simdanganyi....kama keshaambiwa hasikii. Na kumbe kaamua mwenyewe kujitolea wala sizikatai.