Mhuuu.Halafu baada ya miezi kadhaa utakuja na Thread eti sijui nilimlia mume wa mtu hiki na hiki na yamenikuta haya na haya Naombeni Ushauri. (soma thread za wenzio humu walioanza kama wewe na sasa wanataka ushauri). We kama ni gf wa mtu na unajiheshimu kumfungia vioo uyo jamaa unaona shida gani??Unashindwa hata kumtisha kua utam report kwa mkuu wa kazi. Mabinti akili zenu mnazijua wenywe, so far mtoto wa 22yrs mpaka unauliza umlie ama usimlie ni TAMAA TU INAKUSUKUMA HAPO,
Mhuuu.
kumbe ukila cha mtu sharti ulipe.lol na magonjwa haya.kiranga koma
Huu ushauri wenu wa hovyo unawacost sana mabinti wadogo kama huyu. Dogo kama humtaki usichukue chochote.Mlie na usimpe tuna......hao wasio heshimu ndoa zao usiwaonee huruma.