sikuhizi mademu wanapenda sana kuwachezea akili wanaume hapa jf, ndo yule mwingine akaja PM zimejaa kumbe anapokuwa anapost anawachora tu akili, tustukeni wanaume wenzangu.Hii tabia ya kuwafanya watu mapopoma sijui itaisha lini,jitu linaposti uzi linasema hivi kesho linaposti kitu kingine linadhani watu hawasomi,jitu kingine lina copy na kupaste uzi wa mtu mwingine linajifanya limeanzisha lenyewe,yanakera sana aisee.