Sijui nimlie vitu vyake? Anajipendekeza

Sijui nimlie vitu vyake? Anajipendekeza

Habari,

Mimi ni msichana 22 years. Kazini kwangu kuna likaka linajipendekeza kwangu sana. Sijui hata number yangu alimpa nani. Ohoo nakupenda, nikamwambia si una mke wewe, akasema hana wakati ni mtu mzima.

Nikamwambia nina mchumba, sasa kila kitu nikuletee, mimi nakataa. Nimchune au nitadaiwa?

Simpendi, na kum-block nimem-block ila SMS huwa zinafika ila hakomi.
Ohooo, usijidanganye ukila vya mwenzio lazima na wewe uliwe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom