Sijui nimlie vitu vyake? Anajipendekeza

Unatumia akili....mpaka ajue mjini shule, tena hao wa kazini...duuh labda awe ndo boss maana anaweza akakudhuru kwa mengi kikazi. Lakini just a colleague....

una experience? haya bhana kila lenye heri kwake
 
Unatumia akili....mpaka ajue mjini shule, tena hao wa kazini...duuh labda awe ndo boss maana anaweza akakudhuru kwa mengi kikazi. Lakini just a colleague....

you-sure-about-that.jpg
 
hapo lazma udaiwe mdogo wangu, hakuna vya bure siku hizi
unafikiri hana wadogo zake wa kike wa kuwapa hizo zawadi eeh, shauri lako. ukianza tu kupokea jiandae kutoa, tena na hivi umesema ni mume wa mtu kuwa makini.
 
rubylove

Ebu kula kama hawajakufanya wali wa hitima lol vingine haviliwagi liwagi hivi hivi lol soma alama za nyakati
 
Last edited by a moderator:
Usimchekee chekee hata, wasiliana nae kwa mambo ya kazi na salamu, kucheka cheka nae NO, hii ni kama kweli humtaki, kinyume na hapo... maamuzi yako
 
ukila tu jua utaliwa binti.... sasa kama hutaki kuliwa acha kupokea zawadi.. zawadi nyingine utazifuata na once umezifuata utavuliwa chupi tu

uzuri tumemweleza wengi Miss chagga, akitusikia sawa ila kama anataka kuvaa miwani ya mbao asije tena kulalamika hapa jamvini
 
Kwani anaondoka nayo,we mchume naye akudonoe basi,we si unamchumba wako??ukishatosheka timua zako
 
hapo lazma udaiwe mdogo wangu, hakuna vya bure siku hizi
unafikiri hana wadogo zake wa kike wa kuwapa hizo zawadi eeh, shauri lako. ukianza tu kupokea jiandae kutoa, tena na hivi umesema ni mume wa mtu kuwa makini.
asante sana my dada my dada nimeona mbali
 
rubylove

Halafu baada ya miezi kadhaa utakuja na Thread eti sijui nilimlia mume wa mtu hiki na hiki na yamenikuta haya na haya Naombeni Ushauri. (soma thread za wenzio humu walioanza kama wewe na sasa wanataka ushauri).

We kama ni gf wa mtu na unajiheshimu kumfungia vioo uyo jamaa unaona shida gani??Unashindwa hata kumtisha kua utam report kwa mkuu wa kazi. Mabinti akili zenu mnazijua wenywe, so far mtoto wa 22yrs mpaka unauliza umlie ama usimlie ni TAMAA TU INAKUSUKUMA HAPO,
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom