Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,409
kusema la ukweli kwanza wewe ndio mwanaume wa kweli!....ila kama amewai kuwakimbia mpaka watoto akatokomea kweli huyo ni pakaroad!
kama unaye mama mzazi aje awalee huyo atakuja kukufanya ufanye kitu cha ajabu uishie jela na watoto wawakose wote.
unaweza pata mke mwingine bora si wote wabaya tafuta mtu mzima kidogo walau aliyefiwa a mume au aliyetendwa na dunia na kabla pima ukimwi kwanza.....pia huyo mwaamke awe na mtoto....tangaza hapa hapa mbona siku haitapita na wanajf tutachangia harusi na tutakuja wala usikonde wangu...yapo sana haya..mi ni dada yako najua unayopitia,