Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,367
samahani lakini kwa kuuliza hili swali......
mfano mama yao angekuwa amekufa ingekuwaje.....hawa watoto angewafanyaje....?
hilo nalo neno
samahani lakini kwa kuuliza hili swali......
mfano mama yao angekuwa amekufa ingekuwaje.....hawa watoto angewafanyaje....?
Peleka watoto boarding wakati unaendelea kutafakari.Baada ya muda msamehe mkeo arudi home.Ila watoto wasijue kama mmetengana,waambie mama kasafiri.
Ninavyowajua wanawake,hawezi tena kurudia kosa hilo hilo unless otherwise ndio tabia yake hata kabla hujamuoa(Neo maana tunashauriwa kujua background ya mume/mke kabla haujaoa/olewa).
Hata hivyo pole sana mkuu,nahisi maumivu unayoyapata!
Mbaya zaidi kiongozi, wakati wa purukushani hii, huyu wife alishawahi kuwakimbia hawa watoto sio chini ya mara tatu. alidiriki kuondoka nyumbani zaidi ya siku sita, hiki hasa ndo kilichonifanya nisiwaze hata mara moja kumwambia aondoke kwangu. haikua rahisi na ni mengi sana nimeyaona sijayaweka hapa. najuta kumfahamu huyu mwanamke
Chaguo ni lako kaka... dunia ya leo upate mwanamke akulee
watoto watatu kama wa kwake ni shidaa.... Kulea mtoto asio wako ni kipaji kaka
ila kila la kheri kwenye maamuzi yako.
ilibidi nimlete dada yangu anisaidie, isingewezekana kwangu
kuacha hiyo tabia ni kwa neema ya Mungu.....
kuna kisa kimoja tofauti.....huyu mama alikopa bank bila ya hata kumtaarifu mmewe....mwisho wa siku nyumba ikawa inapigwa mnada....majirani ndiyo kumtaarifu mmewe......lakini unadhani huyo mwanamke aliachia hapo kukopa bila kumtaarifu mmewe......tabia haikukoma mpaka leo mmewe yupo kaburini......so sio wote wanaojutia makosa na kuacha......
wahao wanawake bado wapo bibie.......
ila mshauri jamaa DNA inahusika pia.
Mbaya zaidi kiongozi, wakati wa purukushani hii, huyu wife alishawahi kuwakimbia hawa watoto sio chini ya mara tatu. alidiriki kuondoka nyumbani zaidi ya siku sita, hiki hasa ndo kilichonifanya nisiwaze hata mara moja kumwambia aondoke kwangu. haikua rahisi na ni mengi sana nimeyaona sijayaweka hapa. najuta kumfahamu huyu mwanamke
ilibidi nimlete dada yangu anisaidie, isingewezekana kwangu
Chaguo ni lako kaka... dunia ya leo upate mwanamke akulee
watoto watatu kama wa kwake ni shidaa.... Kulea mtoto asio wako ni kipaji kaka
ila kila la kheri kwenye maamuzi yako.
My God!
So sad...pole sana.
Usiwapeleke boarding ...tafuta dada wa kazi wakuwalea na ndugu 1 km yupo ....
Unaweza msamehe ila ukaamua kutoshare tendo, mkawa mnalea watoto wenu kila mtu chumba chake ila matumizi ya nyumbani hakikisha unatoa. watu waelewa wanaishi ivo ili kuwatunza watoto, japo yataka moyo