ni kweli kiongozi, changamoto ni kubwa sana ila nisamehe unyama huu niliofanyiwa hakika mungu atakua karibu kurudi. sio rahisi mkuuUkisikia changamoto ndio hizo..dalili zote za kumsamehe naziona hapo...haya mrudishe nyumbani mlee watoto kuliko kwenda kuitafuta shida zaidi.. hao ndio wanawake...ukiviendekeza hivyo viumbe utakufa kwa ugonjwa wa moyo huku ukiwaacha wanaponda raha.,pole sana.
ni ngumu sana, hebu fikiria niliachwa na huyo mtoto wa miezi tisa. ili bidi niombe ruhusa kazini ili nianze kulea hawa watoto. inauma sana
asante kiongoziPeleka watoto boarding wakati unaendelea kutafakari.Baada ya muda msamehe mkeo arudi home.Ila watoto wasijue kama mmetengana,waambie mama kasafiri.
Ninavyowajua wanawake,hawezi tena kurudia kosa hilo hilo unless otherwise ndio tabia yake hata kabla hujamuoa(Neo maana tunashauriwa kujua background ya mume/mke kabla haujaoa/olewa).
Hata hivyo pole sana mkuu,nahisi maumivu unayoyapata!
asante sana, ila shida inakua nini? ningejua kafanya uchafu huu kwa mtu mmoja ningejitahidi kufumba macho ila nizaidi ya watu 3 niliodhibitisha. inakua ngumu kusamehe kirahisi hivi
asante , na hilo ndo hasa linanipa changamoto kubwa, nawapenda sana watoto wangu ila namchukia sana mama yaoChaguo ni lako kaka... dunia ya leo upate mwanamke akulee
watoto watatu kama wa kwake ni shidaa.... Kulea mtoto asio wako ni kipaji kaka
ila kila la kheri kwenye maamuzi yako.
hapana , nipo naye mimi. kwa hari ilivyokua haikua rahisi hata kumuacha huyo mtoto kwa mama yake kwani kulikua na kila dalili ya murder.
Mbaya zaidi kiongozi, wakati wa purukushani hii, huyu wife alishawahi kuwakimbia hawa watoto sio chini ya mara tatu. alidiriki kuondoka nyumbani zaidi ya siku sita, hiki hasa ndo kilichonifanya nisiwaze hata mara moja kumwambia aondoke kwangu. haikua rahisi na ni mengi sana nimeyaona sijayaweka hapa. najuta kumfahamu huyu mwanamke
Mkuu, M/Mungu kakupenda sana ndiyo kakupa second golden chance uchukuwe Mwanamke mpya aliyokuchagulia yeye !!asante , na hilo ndo hasa linanipa changamoto kubwa, nawapenda sana watoto wangu ila namchukia sana mama yao
asante , na hilo ndo hasa linanipa changamoto kubwa, nawapenda sana watoto wangu ila namchukia sana mama yao
asante sana, ila shida inakua nini? ningejua kafanya uchafu huu kwa mtu mmoja ningejitahidi kufumba macho ila nizaidi ya watu 3 niliodhibitisha. inakua ngumu kusamehe kirahisi hivi
Mkuu, M/Mungu kakupenda sana ndiyo kakupa second golden chance uchukuwe Mwanamke mpya aliyokuchagulia yeye !!asante , na hilo ndo hasa linanipa changamoto kubwa, nawapenda sana watoto wangu ila namchukia sana mama yao
Msameheme tu!!! ivi we umekua muaminifu kwenye hio ndoa???? au ya kwako umeweza kufanya siri????
mkuu,nakushauri urudishe moyo nyuma,wafikirie watoto.unawatesa kwa dhambi ya mama yao.watoto huwa wana lose sana wasipomuona mama.ni bora uishi na huyo mwanamke hata kama mapenzi hakuna.hakuna kuduu au hata mtengane vitanda.lakini watoto wawe wanawaona mko pamoja.wanamuona mama na pia baba.hata darasani zitachaji sana.lakini kama unataka uwaharibu watoto basi wasiwe wanamuona mama yao around.
ni hayo tu mkuu,mengineyo kichwani mwako.