Sijui ni macho yangu?

Sijui ni macho yangu?

ha haaa, mi natumia Nivea lotion tu

Yeah, vitu ambavyo havina ma chemical sijui ahydroquinini sijui ndo vya kupaka....unakuta mtu kachanganya jaribu sabuni, carolite, whitenig sijui nini vyote kwa pamoja twende kazi usoni....kwa nn usizeeke......
 
UUUUWIH!nimelikoroga!
dada mkubwa sa hapa niombaje msamaha!ujue lile kosa la siku ile niilijichulkulia tu shindi mezani!sasa leo wlahi natolewa macho!:A S 20::redfaces:

nimekasirika sana,nimechukia sana.
 
Wodini huku hamna wateja. Wadada na wajukuu zangu hebu acheni kutumia kondom nami nipate kazi ya kufanya.

Baada ya kusema hayo ODM narejea zangu kitandani.

Pole kwa watakaonimisi. Kwaherini nyote.

hahahaha. Bazaz at work
 
Yeah, vitu ambavyo havina ma chemical sijui ahydroquinini sijui ndo vya kupaka....unakuta mtu kachanganya jaribu sabuni, carolite, whitenig sijui nini vyote kwa pamoja twende kazi usoni....kwa nn usizeeke......
umesahau jik, lol!
 
Back
Top Bottom