snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
mdogo wangu snowhite samahani kwa hili, ngoja nimtetee mama K.....
shem hata mimi nimeshangaa..... vya ndani tuliambiwa viishie ndani.......
hata vya sebuleni marufuku kuvikuta kibarazani
UUUUWIH!nimelikoroga!
dada mkubwa sa hapa niombaje msamaha!ujue lile kosa la siku ile niilijichulkulia tu shindi mezani!sasa leo wlahi natolewa macho!:A S 20::redfaces: