Sijui ni macho yangu?

Sijui ni macho yangu?

Tutaenda benki ya wanawake......Au kwenye ile SACCOSS ya muke wa muheshimiwa wa nchi aliyemaliza muda wake By nini sijui....
menzangu wewe mchaga?
nasikia ile sacoss kupata mkopo au ufadhili lazima uwe mchaga.......
labda tumwingize na Nyamayao au Mamndenyi ili tupate hiyo feva
 
Last edited by a moderator:
menzangu wewe mchaga?
nasikia ile sacoss kupata mkopo au ufadhili lazima uwe mchaga.......
labda tumwingize na Nyamayao au Mamndenyi ili tupate hiyo feva

Ha ha haaa kumbee...sikujua miyee dah....itabidi tufanye hivyo i see....mahela ya wadada wa mkorogo tusiyakose hee..tena naanza kutafuta mkemia mkuu wa kuchangaya content ya vipodozi lol
 
anza mwayego......
mi naanza kutafuta products za bei powa kwa ajili ya kumiksi
 
ndiyo nimeyasikia haya leo
itakuwa na mkono wa yule asiyejua kucheka
yule mamaa ya mukubwa aliyetangulia.
manake naye amezikusanya fedha za tz hadi aibu.

Back
Top Bottom