Sijui ni macho yangu?

Sijui ni macho yangu?

HUWA NAWZA SANA MICHAEL JACKSON KAMA SIO HAYO MADAWA ANGEKUWA HAI HAADI WA LEO HII ILA YEYE NDIO FUNGA KAZI KWA KWELI JICHO LIMERENDEMKA MWEEEE
ALAFU WEWE TWINI WANGU FP NIJIBU HAYA MASWALI YANGU!!
Hv kimya chako kinamaanisha nn?
1>Unajiskia uvivu kuwasiliana na mm?
2>Huna salio?
3>Umenichoka?
4>Kazi zimekutinga?
5>haujisikii?
6>Umenisahau?
7>Huna wasiwasi na hali yangu?
8>Umekatazwa?
9>Sistahiki kusalimiwa na ww?
10>Si mazoea yako kunisalimia?

Bas mm cjambo ukipenda nijulishe hali yako mana ukobize sana...! MCHANA MWEMA
Khaaaaa, twin maswali yako!
ndo teja kakujia na maswali haya leo?
mimi huyuhuyu twin wako kweli?
 
Last edited by a moderator:
labda michango tukusanye huku huku ar
watu wa dar mmmmh wagumu kama nini
sijui hawana hela weka tangazo tuone.

Ahhh ngoja nimuombe binamu yangu Paloma aweke tangazo hapa na FP apitishe bakuli la mchango
Ila nasikia FP nae kabadilisha eti sura yake kutoka kuwa mweusi kama cheupe dawa
 
Last edited by a moderator:
me nimekumista binamu
hujambo lakini


Sasa binamu Paloma nakuonaje ila usije na sosoliso
Bishanga kachoka zaidi ujue Mr Rocky..! yaani mpaka vikao vinawekwa kwa ajili ya kuangalia atasaidiwaje.. mie ananiona kama Bill Gates vle.. mtoto kanyimwa na The secretary.. angekuwa mnyalu kitambo angekuwa ameshajirestisha ini pisi..
h

hahahaha ana kile kiburi cha kihaya ndo maana ila Bishanga jitokeze tuu useme kuwa mfuko umetoboka tutakuwa tunakupa nauli ya toyo kila siku
 
Last edited by a moderator:
Black is beautiful...... Huyo wakwanza kawa kama kamdoli bhana
 
hapo wala usivae miwani
alifanya kumeza kidongo full
so ndo kawa nyeupe kama karatasi
sijui itakuwaje kwani muuza vidonge mwenye alikwisha rip toka mwaka jana FP kazi kwako.

FP ngoja nivae tena miwani yangu ya mbao kwanza Mamndenyi ndo ameniambia eti wewe ulikuwa full black ila kwa sasa ni mweupe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom