Sijui ni macho yangu?

Sijui ni macho yangu?

hapo wala usivae miwani
alifanya kumeza kidongo full
so ndo kawa nyeupe kama karatasi
sijui itakuwaje kwani muuza vidonge mwenye alikwisha rip toka mwaka jana FP kazi kwako.

Ohhhh sorry FP sasa kwa hiyo tukusaidieje hapo
Maana kama huyo muuza kidonge kasharestishwa in pisi tutaona mengi sana
Meza mkaa unaweza kuanza kugeuka tena
 
Last edited by a moderator:

nyie wapenzi wawili msinitafutie balaa
 
khaaaaa, twin maswali yako!
Ndo teja kakujia na maswali haya leo?
Mimi huyuhuyu twin wako kweli?
ndio wewe wewe unijibu toka lini hatujawasiliana hata kama umehamia charambe kwa mchawi tuwasiliane!!!!!
 
wewe Mr Rocky.. nina RB ya polisi kuhusiana na tukio la kurusha bomu kule Arusha kanisani.. haina jina ukifanya mchezo utajikuta uso kwa uso FBI..!

Sasa sosoliso nimefanyaje tena mkuu wakati Paloma ni binamu yangu
Tuna maongezi ya mtu na binamu yake huruhusiwi kuwepo bana
Usione wivu hata Nivea mi binamu yangu na Madame B pia
 
Last edited by a moderator:
ndio wewe wewe unijibu toka lini hatujawasiliana hata kama umehamia charambe kwa mchawi tuwasiliane!!!!!
sasa wewe si unajua kule umeme hakuna, tutawasilianaje?
usijali twin.... nikimaliza kupanga vitu kwa nyumba ntaibuka mjini
 
ha haaa, na siwezi sema unakuja haribika baadae.
kwani mi naona hata hao wanaojiona muonekano mpya wapo bomba, wanatisha.
hakuna kitu kibaya kama kutokujikubali

kama hujiappreciate who will appreciate you jaman.
 
Back
Top Bottom