Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Sawa mkuuYesu hakuja kwa ajili ya wazimu Bali kwa vilema kama wewe na Mimi![]()
Sawa mkuuYesu hakuja kwa ajili ya wazimu Bali kwa vilema kama wewe na Mimi![]()
Kutoka 31:2.eti musa alikuwa mlemavu!!Kwa kweli Biblia ni kitabu kitakatifu sana na unaitaji kujipanga sana kuelewa maandishi ya kibibilia. Wee bwana wee biblia sio novel. Sikia wanaposema Musa akuwa na uwezo wa kuongea jitahidi sana kuelewa spiritual sense ya andiko ilo. Musa alikuwa fit kuliko unvyofikilia hiyo ni lugha ya kibibilia. Nyie ndo mkisikia anayenipenda abebe msalaba wake kila siku anifate, mnakimbia mnachonga misalaba mnabeba mabegani. Take care with the Bible wenzio wanasomaga miaka mingi kuja kuhubili sio unakurupuka from colomije unavamia faculty za watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ulitaka kusema wanampumzisha au? Jibu litakuwa hivi: Akipata ulemavu utakaomfanya ashindwe kutekeleza majukumu yake, jibu limetolewa hapo juu kwamba atapumzika kwa Askofu wake. Lakini ujue kwamba padre ana kazi nyingi anazofanya sio tu huduma ya madhabahuni (altareni) ikiwa ni pamoja na zile atakazopangiwa na kiongozi wake(Askofu) kwa kuzingatia Taaluma aliyonayo e.g. mwalimu, daktari, ICT n.k.
Mkuu, ulitaka kusema wanampumzisha au? Jibu litakuwa hivi: Akipata ulemavu utakaomfanya ashindwe kutekeleza majukumu yake, jibu limetolewa hapo juu kwamba atapumzika kwa Askofu wake. Lakini ujue kwamba padre ana kazi nyingi anazofanya sio tu huduma ya madhabahuni (altareni) ikiwa ni pamoja na zile atakazopangiwa na kiongozi wake(Askofu) kwa kuzingatia Taaluma aliyonayo e.g. mwalimu, daktari, ICT n.k.
Mary Magdalene was very close to Jesus, very close even more than most disciples. Kuna hata injili aliyoandika Mary Magdalene, japo haijajumuishwa kwenye biblia ya sasa.Uliwahi kumsikia nabii au kuhani kilema katika biblia???
Au Mitume wa Yesu uliwahi kuhoji kwanini hakuchagua kilema?? Am kwanini hakuwahi kuwa na mtume mwanamke??
Iko hivi katika kanisa upadre ni sadaka, yaani mtu hujitolea akiwa na afya yake kamilifu(viungo na kidume kwelikweli/anatakiwa kuwa na nguvu halisi za kiume).
Kanisa haliwezi kumpokea mtu mwenye afya hafifu maana watu wenye matatizo ya afya wanaweza kuona kanisani ndiyo sehemu ya kujificha. Pia nature ya kazi kueneza injili ni kazi ya kusafiri na kujitolea zaidi so inabidi mtu awe fiti mentally and physically.
Bila shaka ata wewe huwezi kukubali kumtolea Mungu Sadaka dhaifu kama kilema.
Uko vizuri mkuu, lakini kwa habari ya mtu/watu kuanguka kwa visa vya mapepo, hebu hudhuria semina za kiroho zitolewazo na wanakarismatic au sehemu nyingine wanaitwa uamsho n.k. Kwa jimbo kuu la Arusha huduma zao zinaratibishwa chini ya Ofisi ya Askofu kitengo cha Uinjilishaji. Utaona.Hii sijui imekaaje! Ila kwa mapadre ni nadra sana kusikia anasema njoooni kwangu wenye mapepo niwaombee wasiojiweza watajiweza. Na toka nianze kusali katoliki mwaka wa 38 sasa sijawahi ona mtu kaanguka kisa pepo ndani ya kanisa.
Huwezi kuwa Padri kama una ulemavu wowote ule hicho ni kigezo kimojawapo labda upate ulemavu ukiwa Padri tayari so mapadri wote walemavu unaowaona walipata ulemavu wakiwa tayari mapadreKusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je nikigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
Mkuu; Tunamzungumzia kwa yule aliyekuwa tayari ni padre. Kwa maneno mepesi/ya mezani ni kama huyu ni mtoto wa Askofu. Ndo maana Askofu anaowajibu wa kumtunza akipata ulemavu au akiwa mzee.Sawa kama anamajukumu mengi uliyosema kwanini na hao wengine wasiwachukue ili wawe wanafanya hizo shughuli nyingine?!?
Sasa kama alikuwa hawezi kuongea hata Mungu aliongea nae vipi? Haiingii akilini kuwa waliongea kwa ishara maana haikuandikwa hivyo ila alisema kuwa mimi siyo msemaji tangu utotoni.Wagalatia mnajua sana kuchakachua mambo. Mnajua kutunga maneno.
Biblia inasema Musa alikuwa hawezi kuongea vyema(Permanent Speech Disability) kiasi ambacho ikabidi Haruni awe anaongea badala yake...
Kuna mtu anasema alikuwa ana kigugumizi(Sijui ametoa wapi hiyo maneno?), Na wewe unasema ni maumbile tu lakini sio ulemavu!!!!
Wapi padre au kanisa katoliki walikuambia wanaponya viwete? Hawa cyo kama wale wenye makanisa yao binafsi wanaigiza kuponya viwete ili kujinufaisha. Tofautisha kanisa katoliki na ya kirohomada hamuijui ili ujue kua ukiwa mlemavu uwezi pewa upadle wanamanisha watahalibiwa maombi yaoo wakati watakopo kwambia tunaponya viwete hutaamini wakati yeyenikiwete kwahio hawataki walemavu wasihalibiwe kaziyao huku wawadanganye eti tunaponya viwete kuna ndunguyagu alikuwa na mtoto akemlemavu akasikia eti kuna kongamano lauponyaji akaenda alitoa pesa kila siku mpakaleo mtoto ni mlemavu kwahio hata kama wewe umesomea utumishi ukiwa mlemavu upewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap. Umesema vema kabisa. Mtoa mada angesema kwamba hajawahi kumwona padre mlemavu kwa kuzaliwa hapo ingekuwa "Game Over". Lakini yeye anasema hajawahi kumwona padre mlemavu. Pengine hapo sasa ni muda mwafaka aendelee na kazi ya kuwatafuta na atawaona kwani kwa uhakika wapo.Huwezi kuwa Padri kama una ulemavu wowote ule hicho ni kigezo kimojawapo labda upate ulemavu ukiwa Padri tayari so mapadri wote walemavu unaowaona walipata ulemavu wakiwa tayari mapadre
Kwa hiyo wewe ni padri?Mafuta yapi? Maana kanisani hasa katoliki tunapakwa mafuta karibu kila sakramenti. Na sakrament hizo mbona na vilema huwa tunapakwa nao!?
Hoja hujibiwa kwa hoja.Kwa kweli Biblia ni kitabu kitakatifu sana na unaitaji kujipanga sana kuelewa maandishi ya kibibilia. Wee bwana wee biblia sio novel. Sikia wanaposema Musa akuwa na uwezo wa kuongea jitahidi sana kuelewa spiritual sense ya andiko ilo. Musa alikuwa fit kuliko unvyofikilia hiyo ni lugha ya kibibilia. Nyie ndo mkisikia anayenipenda abebe msalaba wake kila siku anifate, mnakimbia mnachonga misalaba mnabeba mabegani. Take care with the Bible wenzio wanasomaga miaka mingi kuja kuhubili sio unakurupuka from colomije unavamia faculty za watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wewe ni padri?
Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je nikigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
Kuwa karibu sawa ila hakuwahi kuitwa mwanamke kuwa mwanafunzi wa Yesu..! Ukumbuke baadhi ya wanafunzi walikuwa wanafunzi wa yohana..!Mary Magdalene was very close to Jesus, very close even more than most disciples. Kuna hata injili aliyoandika Mary Magdalene, japo haijajumuishwa kwenye biblia ya sasa.
Kuna injili nyingi zilizoondolewa kwenye biblia ya sasa,
Mfano injili ya Thomas, Yuda.....
Sent using Jamii Forums mobile app