Mkuu hao walipata ulemavu baada ya kuwa tayari mapadre
La; Hasha. Hebu nikuulize hivi: Je, mwanandoa akipata ajali/akiugua na kutokana na ajali au ugonjwa huo e.g. akiparalyse na ikawa nanihii sime haitokata tena..na ni jambo la kudumu, je hiyo ndoa itavunjika? kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya Kikristu esp.ya kikatoliki kifo tu ndo kinachoweza kuwatenganisha hao. Hapo imekaaje? Pitia comments hapo juu vizuri na kwa moyo wa kutaka kujua utapata uelewa.Kwahiyo padri akipata ajali na kukakatika mguu anavuliwa upadri wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo huwezi panga lkn Wakatoliki wamejiwekea utaratibu wao.Kumtumkia Mungu sio lazima uwe PadreWapo walemavu wengi kwenye Biblia waliopakwa mafuta kutumikia kazi ya Mungu. Mmojawapo ni MUSA(Kutoka 4:10-17).
Hatuwezi kumpangia Mungu nani wa kwenda kumtumikia. Anaweza kumchagua yeyote pasipo kuzingatia Maumbile, Mapungufu, Umri au jinsia. Ndio maana biblia inawataja hadi watoto na wanawake waliopakwa mafuta ili kufanya kazi ya Mungu.
mada hamuijui ili ujue kua ukiwa mlemavu uwezi pewa upadle wanamanisha watahalibiwa maombi yaoo wakati watakopo kwambia tunaponya viwete hutaamini wakati yeyenikiwete kwahio hawataki walemavu wasihalibiwe kaziyao huku wawadanganye eti tunaponya viwete kuna ndunguyagu alikuwa na mtoto akemlemavu akasikia eti kuna kongamano lauponyaji akaenda alitoa pesa kila siku mpakaleo mtoto ni mlemavu kwahio hata kama wewe umesomea utumishi ukiwa mlemavu upewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww utakuwa sio Roman Catholic ila ni mamluki ndani ya kanisaKwani kuna sakrament ngapi? Na mafuta yapi wewe ulisungumzia? Je mafuta hayo yanatofauti gani na yale anayopakwa padre?
Mkuu hatuwezi kumpangia Mungu nani wa kwenda kumtumikia na nani asiende kumtumikia. Mungu anaweza kumchagua mtu yoyote ili akamtumikie. Hatuwezi kumwekea Mungu mipaka katika hilo.Wewe ndo huwezi panga lkn Wakatoliki wamejiwekea utaratibu wao.Kumtumkia Mungu sio lazima uwe Padre
Huelewi kitu chochote kaa kimyamada hamuijui ili ujue kua ukiwa mlemavu uwezi pewa upadle wanamanisha watahalibiwa maombi yaoo wakati watakopo kwambia tunaponya viwete hutaamini wakati yeyenikiwete kwahio hawataki walemavu wasihalibiwe kaziyao huku wawadanganye eti tunaponya viwete kuna ndunguyagu alikuwa na mtoto akemlemavu akasikia eti kuna kongamano lauponyaji akaenda alitoa pesa kila siku mpakaleo mtoto ni mlemavu kwahio hata kama wewe umesomea utumishi ukiwa mlemavu upewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Zanzibar AspRijali maana yake ni mwanaume mwenye nguvu za kiume (Kumtamani mwanamke+kusimamisha uume+kumwaga manii)
Sasa embu tueleze, kanisa katoliki wanawezaje kujua kama kweli mtu ni rijali ili akawe padri?
Aaah Bro; Usiwachokoze watu. Zingatia tu mada iliyo jamvini.Mi sijawahi ona mmasai,albino au mlemavu,sjui bado wanaendeleza ile mila yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo yako, napata picha kuwa huenda wanapigishwa Punyeto fulani maalum hivi ili kuwagundua huo urijali wao kabla ya kuruhusiwa kwenda kuwa mapadri.Mkuu Zanzibar Asp
Wakati nikifanya mafundisho ya kufunga ndoa niliwahi kujenga hoja kwamba Kwanini Kanisa lisiruhusu kutesti siraha (nadhani naeleweka) ili pamoja na mambo mengine muoaji/muelewaji aweze kuthibitisha uwepo na utendaji kazi wa machine ya mwenzi wake..!!
Jibu nililopewa ni kwamba Kanisa linataratibu nyingi za kufanya ili kuondoa mtanziko huo. Na ndiomaana kuna Masister ambao hawa wazi kushindwa kugundua udhaifu wa mwenzi wako Ukitaka kuthibitisha hilo. Ninaamini wale masister wanauwezo wa kumfanya mwanamke "akojoe" bila kukutana na mwanaume.
Kujibu swali lako, ni kwamba.. hilo ni zoezi dogo sana kwa taasisi ya Kanisa Catholic kuweza kulifanya bila uwepo wa Mwanamke (kulingana na fikra zako) naamini hata mimi tu (muumini na Mwanaume wa kawaida) ninauwezo wa kukufanya usimamishe na UKOJOE achia mbili kwa taasisi ya Kanisa Catholic....!!
Mkuu kuwa Padre wa Kanisa Catholic si rahisi pengine naweza sema.... Kuupata Urais wa Nchi nyingi tu duniani ikiwemo na Tanzania ni rahisi kuliko kuwa Padre wa Kanisa Catholic kote duniani..!! Wanaraha sana wanaojiita wachungaji ambao unaweza kalala ukaota ndoto kuwa unasemasema balabalani kisha asubuhi ukaigeuza nyumba yako na mkeo na wanao wakawa waumini wako wa awali...!!
BACK TANGANYIKA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unapotosha.Asante sana.
Biblia inasema Musa alikuwa na ulemavu wa kuongea (Bubu!?), hakuwa na Uwezo wa kuongea kwa sauti akasikika na kuelewekeka. Na ni ulemavu aliokuwa nao hata kabla hajapata utume(kupakwa mafuta), na hata alipopakwa mafuta ya kwenda kutumikia kazi ya Mungu, Musa alikataa kwa sababu hiyo ya ulemavu huo. Mwisho wa siku Mungu akamchukua Haruni kuwa msaidizi wa Musa katika kuongea mbele za watu nk.
KUTOKA 4:10-17
Sawa mkuu.Aaah Bro; Usiwachokoze watu. Zingatia tu mada iliyo jamvini.