Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 24,940
- 26,796
Ukiondoa ubatizo, kipaimara na sakramenti ya wagonjwa, hiyo mara ya nne ulipakwa katika sakramenti gani?Hapana. Ila nimepakwa mafuta wakat wa sakrament zaidi ya mara nne.
Ukiondoa ubatizo, kipaimara na sakramenti ya wagonjwa, hiyo mara ya nne ulipakwa katika sakramenti gani?Hapana. Ila nimepakwa mafuta wakat wa sakrament zaidi ya mara nne.
maelekezo ya mungu hayaruhusu,soma kitabu cha mambo ya walawi chote utapata habari za hayo yote na sababu zake,wakati musa akipewa maelekezo na MUNGU nae akimweleza HALUNI aliye kuwa KUHANI.Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je nikigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
Na kisha kuwaambia wana wa israel.Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je nikigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
Mkuu mbona hilo Andiko la Kutoka 4:10-17 limeweka wazi kila kitu kuhusu ulemavu wa kuongea wa Musa. Mpaka Musa akajenga hoja ya kusema kutokana na tatizo lake hilo la kutokuweza kuongea vyema anaona hafai kupakwa mafuta(kwenda kumtumikia Mungu).Sasa kama alikuwa hawezi kuongea hata Mungu aliongea nae vipi? Haiingii akilini kuwa waliongea kwa ishara maana haikuandikwa hivyo ila alisema kuwa mimi siyo msemaji tangu utotoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama aliupata akiwa kazini lkn sheria za MUNGU hazikuruhusu soma mambo ya walawi mpaka mwanzoni mwa HESABU ambavyo vyote ni vitabu vya musa.Nimuewahi muona mmoja hata asubuhi hii nimeonana naye. Though naye aliwahi nisimulia chamgamoto alizopitia mpaka hapo alipofika. Ni dhahiri kuna ubaguzi na mapokeo ya kipuuzi kuhusiana na ulemavu ktk utumishi huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni maelekezo ya MUNGU kwa musa juu ya makuhani wake watakavyokuwa wenye kasoro za ki maumbile hawakuruhusiwa.Ndio ni kigezo kimojawapo...Na pia hakuna padre hanithi(ashakum si matusi)
Kwanini...?
Upadre na Sadaka(Sacrifice)...yani unajitoa mzima mzima kama ulivyo....Yani si una-opt kuwa padre kwasababu wewe ni mlemavu, au wewe audi.n...d ndio unakimbilia upadre..upadre ni Sadaka iliyosafi..ni kujitoa..bila kujibakiza..
Wajuzi watajazia nyama
Upadri ni daraja ukishafika hapo harifutiki ila waweza simamishwa secrament zote kusmamia lkn hata ukiumia ukavunjika miguu na ukaea huna nguvu tena za huduma basi utaishi katika makazi ya mapadre hata mauti kwakuwa ww ni mwana wa kanisa huna kwenu isipokuwa kwa kwanisa utahudumiwa na wala hutotengwa .Kwahiyo padri akipata ajali na kukakatika mguu anavuliwa upadri wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni muongoOk. Ila Poa Tu hapo juu kadai kawahi kumuona. Ata asbh hii kamuona!!!
Havuliwi kwa kuwa ameupata akiwa ndani yake.hata kuna mwingine alipata ajali akawa hawezi kidindisha tena anaendelea na shuguli zote za kanisa.Yaah kazi baaasi
Mkuu naona unachanganya mambo mengi hapo.Kama aliupata akiwa kazini lkn sheria za MUNGU hazikuruhusu soma mambo ya walawi mpaka mwanzoni mwa HESABU ambavyo vyote ni vitabu vya musa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiondoa ubatizo, kipaimara na sakramenti ya wagonjwa, hiyo mara ya nne ulipakwa katika sakramenti gani?
Umejuaje?
Swali juu ya swali....Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je nikigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
Musa alikuwa na kigugumizi na karibu yake alisogea haruni kwa hiyo MUNGU alipozungumza na musa kwa maelekezo kwa wana wa Israel mMUNGU huyo huyo alimwambia musa mwambie Haruni awaambie wana wa Israel maneno hayo na huo ulikuwa mpango wa MUNGU na ndiyo maana kuhani mkuu wa kwanza alikuwa haruni kwann hakuwa musa?musa alikuwa mkuu wa msafara kuwa vusha wana wa Israel na kumbuka pia musa alipopewa maelekezo ya kimueleza farao walikwenda na haruni kwa hivyo basi musa hakuwa kuhani,mapadre ni makuhani kama ilivyokuwa kwa watoto wa haruni,kwa kutambua mapungufu ya musa hakumfanya kuwa kuhani.Mkuu usikufuru.
Mbele ya Mungu, mapungufu yako ya kimwili sio issue kabisa. Mungu akikuchagua, hakuna wa kupinga. Yeyote yule anaweza kupakwa mafuta. Ni mungu mwenyewe anaamua.
Unamjua Musa wewe?
Nenda kamsome halafu utagundua alikuwa na ulemavu gani.
Ndio ni kigezo kimojawapo...Na pia hakuna padre hanithi(ashakum si matusi)
Kwanini...?
Upadre na Sadaka(Sacrifice)...yani unajitoa mzima mzima kama ulivyo....Yani si una-opt kuwa padre kwasababu wewe ni mlemavu, au wewe audi.n...d ndio unakimbilia upadre..upadre ni Sadaka iliyosafi..ni kujitoa..bila kujibakiza..
Wajuzi watajazia nyama
Alikuwa na kigugumizi na ndiyo maana hakuwa kuhani,mungu ktk sadaka zake anataka vitu vinono visivyokuwa na kasoro.Sijawahi gundua hilo mkuu,labda unijulishe kama alikuwa na ulemavu gani na ulianzia wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka utamke hivyo ili watu wanapojadili wafahamu kuwa wanajadiliana na mtu aliyekaribia kufa kitandani (sio kwenye ajali) mara mbili hadi mapadri wakalazimika kuja kumuendeshea ibada za mwisho mbili tofautiKwani sakrament ya wagonjwa ina kikomo cha kupakwa mafuta?