Sijawahi kuona Padre kilema

Sijawahi kuona Padre kilema

ILI KILEMA AWE PADRI INAHITAJIKA RIDHAA YA PAPA.

PADRI WETU ALIPATAGA AJALI AKAPATA ULEMAVU WA MGUU NA AKARUHUSIWA KUENDELEA KUINJILISHA.

WAPENDWA WOTE HAPA NA WAPITAJI MJUE KAZI YA UINJILISHAJI INAHITAJI:

1. KUTEMBEA MWENDO MREFU KAMA KWENYE MISA ZA EKARISTI.

2. KUPIGA SANA MAGOTI KWENYE MISA ZA KUABUDU

3. KUWATEMBELEA WAUMINI WAGONJWA NA WAZEE.

4. KUTEMBELEA JUMUIYA NDOGO NDOGO

5. HIJA NK NK NK

UKIWA NA KILEMA HUTAWEZA HAYA.
 
HAIRUHUSIWI LABDA APATE UKILEMA HUKU TAYARI AKIWA PADRI.KAMA TU ILIVYO JESHINI TU HATA KAMA KIFANYIO HAKIFANYI KAZI HUFAI KUWA PADRI.
 
Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je ni kigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
Mi pia cjawahi ona shehe kilema na Rais kilema.
Mkuu; Naona ww unawatafuta na pia hata Kiberiti Kidogo naye anawasaka kwa udi na uvumba katika makanisa yote watu hao. Naomba mtuambie kama je,watu hao ni dili au vp?
Mkuu , hapo alikuwa anajibiwa mtu ili siku nyingine kabla hajaleta Uzi atazame nje ya box .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio ni kigezo kimojawapo...Na pia hakuna padre hanithi(ashakum si matusi)

Kwanini...?

Upadre ni Sadaka(Sacrifice)...yani unajitoa mzima mzima kama ulivyo....Yani si una-opt kuwa padre kwasababu wewe ni mlemavu, au wewe audi.n...d ndio unakimbilia upadre..upadre ni Sadaka iliyosafi..ni kujitoa..bila kujibakiza..

Wajuzi watajazia nyama
......
......UMETISHA MKUU
 
Asante sana.
Biblia inasema Musa alikuwa na ulemavu wa kuongea (Bubu!?), hakuwa na Uwezo wa kuongea kwa sauti akasikika na kuelewekeka. Na ni ulemavu aliokuwa nao hata kabla hajapata utume(kupakwa mafuta), na hata alipopakwa mafuta ya kwenda kutumikia kazi ya Mungu, Musa alikataa kwa sababu hiyo ya ulemavu huo. Mwisho wa siku Mungu akamchukua Haruni kuwa msaidizi wa Musa katika kuongea mbele za watu nk.

KUTOKA 4:10-17

Musa hakuwa bubu, alikua na kigugumizi. Tofautisha kati ya mtu kuwa bubu na kuwa na kigugumizi
 
Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je ni kigezo kimojawapo cha kuwa Padre?

ni kama ambavyo mie sijawahi ona sura yako au picha yako halisi
 
Back
Top Bottom