DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,904
Kutokana na nature ya maisha yao huwa hawatoi nafasi kwa mtu mwenye disability kuwa ordained, kumbuka padri hana familia so in most cases anatakiwa kuji handle mwenyewe bila kutegemea usaidiz wa mtu mwingine, vile vile anawajibika kufanya kazi katika mazingira tofaut tofauti hii inapelekea wengi wanaoenda kule na kupadrishwa ni wale wanaokidhi vigezo hivyo,
Wale unaoona wana disability ujue waliipata wakiwa mapadri tayari.
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Wale unaoona wana disability ujue waliipata wakiwa mapadri tayari.
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app