Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Kwa heshima na taadhima,

15:00 pm mzigo unashuka rasmi,
MABADUNI WA SERIKALI.
Nitakaowatag nanyi muwatagi wenzetu wengine ili twende sambamba.
 
Kuna kigongo kipya kitaingizwa Jf kwa mara ya kwanza kabisa.
Wale wapenzi wa vitu vya kijasusi vilivyoshiba msikose hii kitu ..(MABADUNI WA SERIKALI).
Kigongo kina sura sita tu, na bado sura mbili kikamilike.


Ningepost lakini naijua arosto ya wadau humu wanaweza kukuombea dua mbaya hivyo naiheshimu sana hadhira.
Wakosoaji wasikose, narudia tena, wasikose. Maana wanaleta ukamilifu ambao nautaka...
SOON TO BE THERE.
Salute broooo...
 
Ni ngumu uchangiwe na watu wanne watu halafu watu waangalie tu halafu ubebwe uwekwe kwenye gari wanakuangalia tu unaondoka tena na hayo maeneo nimeambiwa na mwananchi mmoja kuna polisi na walinzi karibu. Uwe makini dogo usipoteze umakini please. Utanikwaza
Ikiwa Bongo mtu unaibiwa waziwazi unaangaliwa tuu ije kuwa hilo tukio!!! Ilhali walishaambiwa ni mambo ya kifamilia waachame nao?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom