Sijawahi kufikia wala kuvuka uzito kg 60!

Ulicho nacho wewe (uzito mdogo) tupo tunaokitafuta kwa jasho na damu na tusikipate,shukuru upo hivyo uzito mkubwa siyo afya ni mateso.

Mimi miaka 13 nyuma nilikuwa nakomea 67 kirudi 65 but majuzi hapa nikajikuta nipo 86+ nimejiwekea ratiba ya mazoezi kwa week nimezikata shida uzito umesimama kwenye 74 nimepambana navyopambana hata 70 nimeshindwa kuigusa.
 
Huo uzito wake ni wa hovyo kwa mwanaume ,ajaribu kuupandisha kidogo
 
Familia: Mke na mtoto mmoja.
Kazi: nimeajiriwa, private company.
Uchumi: Uchumi wa kati.
Mkuu yawezekana huo ni mwili wako kabisa usijistress sana. Kwa namna hivyo vitu vimejipanga inaonesha huna stress sana na nature ya kazi haikutaki upoteze energy nyingi kukupelekea kuwa na hamu sana ya kulakula.

Kwa maoni yangu wewe endelea tu kula healthy food
 
Back
Top Bottom